Amkamata mkewe akichepuka, aponyokwa. Mtoto asiye wake afariki

Mtoto alikua anaumwa? Na kama alikua anaumwa sidhani kama mama ake angemuacha ndani na kwenda kungonoka na kumuacha usiku mzima amchukue kesho yake,

Kwanini mtoto afe baada ya Baba kumshika ugoni Mama yake na kumponyoka?

Hapo kuna kitu kizito na mshukiwa wa kwanza ni huyo huyo jamaa, mara nyingi hasira za kufumania hua ni kali sana hatujui alimfanya nini,

Imagine, umfumanie Mwanamke wako halafu kakuachia mtoto ambaye sio damu yako ukae nae usiku kucha.
Uliisoma story flan ya DeepPond alipowashuhudia mchepuko wake uko na mwanaume ndani wanangonoka huku katoto ka miaka 3 kako kando kamelala kanaumwa.??

Wanawake aakikojoleshwa ni mashetani wanafanya chochote tu, ila huku nje wanatunga story ilikua hivi na vile na zigo la lawama linamwangukia yeyote atakaehisiwa/kuchukiwa kwa wakati huo.

Ukweli mchungu ni kua kuna muda mzazi anampenda mpenzi/mke wake kuliko mtoto wake.
 
Guten Abend.

Leo nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kushikiliwa kwa kijana mmoja niliyekuwa naye kwenye project moja ya afya nchini. Alikuwa 'Index Tester'. Kijana mmoja ambaye hakika aliipenda kazi na kuifanya kwa bidii. Zaidi, alikuwa mnyenyekevu mwenye misimamo thabiti. Naam, alikuwa ni Msabato. Kwenye dili zilizokuwa zinaangukia Jumamosi zenye posho nene, hakuwahi kuthubutu kuacha siku yake ya ibada kwa ajili hiyo.

Kila iitwapo leo tumuombe Mwenyenzi Mungu atuepushie na mabalaa na kadhia za ulimwengu. Kijana huyu kwa sasa yupo rumande akisubiri kesi yake kunguruma mahakamani.

Kijana huyu miezi kadhaa iliyopita aliamua kuishi na mpenzi wake. Kwa bahati mbaya au nzuri, mpenzi wake huyo alikuwa na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi kadhaa. Waliendelea kuishi bila shida. Binti alikuwa akionesha tabia za kutokuwa mwaminifu kwa mwenzake.

Wanasema za mwizi ni 40, lakini palipo na arobaini balaa ndipo huchanua. Bahati mbaya sana, balaa badala ya kumchanulia mwizi na mchepukaji, likachanua kwa kijana mpole na mkamata ugoni.

Akiwa kazini, jamaa anapewa taarifa kwamba mpenzi wake yupo mahali anangonoka na mwenzake. Kwa pupa, jamaa kafika eneo la tukio. Wawili hao wanamponyoka na kufanikiwa kukimbia. Binti alimuacha mtoto nyumbani akiwa kalala. Baada ya kukimbia, akarudi kwao kwenda kutafuta suluhu na msamaha.

Binti anarudi asubuhi kumfata mwanae, kwenda huko kwa wazazi wake. Asubuhi mapema, jamaa akaondoka kuwahi kwenye majukumu yake. Alimuacha mtoto akiwa amelala. Akiwaaga majirani kuwa mama yake atafika muda si mrefu.

Asalaleeh!. Mama anafika na kumkuta mwanae kafariki. Na anadai lazima atakuwa kauwawa na mpenzi wake usiku. Taarifa zafika polisi, jamaa kaenda kubebwa mzobe mzobe akiwa anahudumia wateja wake. Hajui hili wala lile, moja kwa moja polisi kwa tuhuma za mauaji.

Polisi bado wanaendelea na Uchunguzi. Sijapata kufahamu postmortem ilisemaje.

Lakini, hii imenitafakarisha sana. Sijapata kufahamu ukweli wa tuhuma husika. Ila kwa kadri ya ninavyomfahamu, sidhani kama ataweza kufanya huo upuuzi.

Kama kweli kafanya, basi adhabu na iwe juu yake. Vijana jitafakarini katika kuamua kuoa ama kuishi na mwanamke mwenye mtoto. Kama unadhani hutoweza kudhibiti hasira zako, basi achana na mwanamke wa watu. Lamba asali, tembea. Usijibebee mzinga wenye nyuki wakali. Na visasi viwe juu ya wahusika, si watoto. Hawana hatia hata kidogo.

Kama hajatenda, basi Mungu na amnusuru na tuhuma hizo. Vijana msikubali kukaa na watoto wa watu, pelekeni kwa bibi zao. Maana lolote likitokea, mtuhumiwa wa kwanza ni wewe. Kwa kudhani kwamba mtoto si wao, muuaji ni wewe. Mpaka haki ije ipatikane, basi umesota sana.
Masingke maza hatari vijana bado hawasikii tuu. Hao masingke maza ni wakutomber tuu
 
Mtoto alikua anaumwa? Na kama alikua anaumwa sidhani kama mama ake angemuacha ndani na kwenda kungonoka na kumuacha usiku mzima amchukue kesho yake,

Kwanini mtoto afe baada ya Baba kumshika ugoni Mama yake na kumponyoka?

Hapo kuna kitu kizito na mshukiwa wa kwanza ni huyo huyo jamaa, mara nyingi hasira za kufumania hua ni kali sana hatujui alimfanya nini,

Imagine, umfumanie Mwanamke wako halafu kakuachia mtoto ambaye sio damu yako ukae nae usiku kucha.
Hata kama haumwi mtoto mdogo alimwacha vipi hapo ndani huyo mwañamke hajielewi na yeye wangemweka ndani, aeleze ugwadu gani huo mpaka anamwacha mtoto?
 
Hata huyo mwanaume aliachaje mtoto wa mwaka mmoja ndani asubh kisha yeye asnde kazini
 
Nakubaliana na wewe, Mwanamke na yeye anapaswa kukamatwa maana huwezi kumuacha ndani mtoto wa mwaka mmoja labda kama alimuachia jirani ambapo jirani nae anapaswa kukamatwa aeleze alimpa nini mtoto mchana kutwa.
 
Oonho [emoji1787] tit for tat,
Tena anawaambia majirani mama ake atakuja kumchukua, alijua mama ake angeenda saa ngapi?
 
Dah uskute kijana hata hajauwa yy kapelekewa msala tu maskini maana kama angeua lazma angekimbia tu
Hapa itakuwa boyfriend mpya na mother wameona wampe msala mlokole. Wauwe msabato anawekwa jela nao wanakulana kwa raha.

Pia single mother anasoma nyuzi za jf amechoka nazo kapata sababu ya kuondoa mtoto na kubaki kivyake.
 
Guten Abend.

Leo nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kushikiliwa kwa kijana mmoja niliyekuwa naye kwenye project moja ya afya nchini. Alikuwa 'Index Tester'. Kijana mmoja ambaye hakika aliipenda kazi na kuifanya kwa bidii. Zaidi, alikuwa mnyenyekevu mwenye misimamo thabiti. Naam, alikuwa ni Msabato. Kwenye dili zilizokuwa zinaangukia Jumamosi zenye posho nene, hakuwahi kuthubutu kuacha siku yake ya ibada kwa ajili hiyo.

Kila iitwapo leo tumuombe Mwenyenzi Mungu atuepushie na mabalaa na kadhia za ulimwengu. Kijana huyu kwa sasa yupo rumande akisubiri kesi yake kunguruma mahakamani.

Kijana huyu miezi kadhaa iliyopita aliamua kuishi na mpenzi wake. Kwa bahati mbaya au nzuri, mpenzi wake huyo alikuwa na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi kadhaa. Waliendelea kuishi bila shida. Binti alikuwa akionesha tabia za kutokuwa mwaminifu kwa mwenzake.

Wanasema za mwizi ni 40, lakini palipo na arobaini balaa ndipo huchanua. Bahati mbaya sana, balaa badala ya kumchanulia mwizi na mchepukaji, likachanua kwa kijana mpole na mkamata ugoni.

Akiwa kazini, jamaa anapewa taarifa kwamba mpenzi wake yupo mahali anangonoka na mwenzake. Kwa pupa, jamaa kafika eneo la tukio. Wawili hao wanamponyoka na kufanikiwa kukimbia. Binti alimuacha mtoto nyumbani akiwa kalala. Baada ya kukimbia, akarudi kwao kwenda kutafuta suluhu na msamaha.

Binti anarudi asubuhi kumfata mwanae, kwenda huko kwa wazazi wake. Asubuhi mapema, jamaa akaondoka kuwahi kwenye majukumu yake. Alimuacha mtoto akiwa amelala. Akiwaaga majirani kuwa mama yake atafika muda si mrefu.

Asalaleeh!. Mama anafika na kumkuta mwanae kafariki. Na anadai lazima atakuwa kauwawa na mpenzi wake usiku. Taarifa zafika polisi, jamaa kaenda kubebwa mzobe mzobe akiwa anahudumia wateja wake. Hajui hili wala lile, moja kwa moja polisi kwa tuhuma za mauaji.

Polisi bado wanaendelea na Uchunguzi. Sijapata kufahamu postmortem ilisemaje.

Lakini, hii imenitafakarisha sana. Sijapata kufahamu ukweli wa tuhuma husika. Ila kwa kadri ya ninavyomfahamu, sidhani kama ataweza kufanya huo upuuzi.

Kama kweli kafanya, basi adhabu na iwe juu yake. Vijana jitafakarini katika kuamua kuoa ama kuishi na mwanamke mwenye mtoto. Kama unadhani hutoweza kudhibiti hasira zako, basi achana na mwanamke wa watu. Lamba asali, tembea. Usijibebee mzinga wenye nyuki wakali. Na visasi viwe juu ya wahusika, si watoto. Hawana hatia hata kidogo.

Kama hajatenda, basi Mungu na amnusuru na tuhuma hizo. Vijana msikubali kukaa na watoto wa watu, pelekeni kwa bibi zao. Maana lolote likitokea, mtuhumiwa wa kwanza ni wewe. Kwa kudhani kwamba mtoto si wao, muuaji ni wewe. Mpaka haki ije ipatikane, basi umesota sana.
Hivi wasabato nao huwa wanazini?
 
Hata huyo mwanaume aliachaje mtoto wa mwaka mmoja ndani asubh kisha yeye asnde kazini
Inahitaji moyo sana, mwenye mtoto wake umemfumania na mtoto si wako unawalea mmm alijua mwenye mtoto atamfuata
 
Hata kama haumwi mtoto mdogo alimwacha vipi hapo ndani huyo mwañamke hajielewi na yeye wangemweka ndani, aeleze ugwadu gani huo mpaka anamwacha mtoto?
Labda jamaa anafyonza tigo
 
Nakubaliana na wewe, Mwanamke na yeye anapaswa kukamatwa maana huwezi kumuacha ndani mtoto wa mwaka mmoja labda kama alimuachia jirani ambapo jirani nae anapaswa kukamatwa aeleze alimpa nini mtoto mchana kutwa.
Kuna wanawake huwa wanawapa vilevi watoto wao na wao kwenda kubanjuka, na wapo wengi .
 
Back
Top Bottom