Amkeni! Hili suala la Zanzibar na Tanganyika ni propaganda

FourTwoNet

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
1,401
Reaction score
2,760
Wakuu, kuna kitu kinaitwa "divide and conquer", yaani "tawanya utawale".

Kuna mifano mingi sana, wadau wa historia mna ushahidi.

Ukweli ni kwamba, wapo watu wa bara wengi wenye mali na familia Zanzibari, vile vile wapo watu wa Zanzibari wengi wenye mali na familia bara. Infact wapo watu wengi wenye asili mchanganyiko toka enzi za mababu na mababu zao. Huwezi kutofautisha mtu wa Zanzibari ni yupi na wa bara ni yupi. Wote ni wa Tanzania.

Amkeni!!! Propaganda za kitoto hizi.

Mfano, Wakenya huwa wanakumbukaga makabila yao wakati wa siasa tu. Ila wame intermarry kila kona, na wanapendana na kutaniana balaa.

Tujiulize. Ni nani anafaidika na propaganda hizi?!!! Amkeni!!!
 
Muungano na Zanzibar ni muungano usio na maana kabisa
 
Mtanganyika anaweza kwenda Znz na kugombea nafasi ya uongozi? Anaweza kumiliki ardhi Znz? Ni hivi hakuna wajinga wa kudumu.
 
Hueleweki Sasa. Nani anayegawanya watanzania?
Swali lako sasa, unauliza kwa engo ipi mkuu? Kwamba unauliza hakuna propaganda za kimgawanyo? Au unauliza ni nani anayefanya hivyo kwa nia ya kufahamu!? Kidogo swali lako wanasemaga ni open question!!! 🤔
 
Swali lako sasa, unauliza kwa engo ipi mkuu? Kwamba unauliza hakuna propaganda za kimgawanyo? Au unauliza ni nani anayefanya hivyo kwa nia ya kufahamu!? Kidogo swali lako wanasemaga ni open question!!! 🤔
Hakuna mtu anayetaka watu wagawanyike!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…