Amkeni! Hili suala la Zanzibar na Tanganyika ni propaganda

Amkeni! Hili suala la Zanzibar na Tanganyika ni propaganda

Mtanganyika anaweza kwenda Znz na kugombea nafasi ya uongozi? Anaweza kumiliki ardhi Znz? Ni hivi hakuna wajinga wa kudumu.
Ndio, wapo majamaa kibao wamenunua visehemu wakaweka nyumba za airbnb sababu ya utalii... kisiwa chenyewe ndio hicho. Sio kila mtu atapata. Kuna wazawa wa pale wenye maeneo yao.

Technically, Mtanzania yoyote anaweza kuwania uongozi nafasi yoyote na sehemu yoyote ile, popote pale kama watamkubali. Sijui kama unanielewa hapa.

Hicho unachojaribu kusema, pia je, mzanzibari anaweza kwenda sijui mwanza kule au chato, akawa diwani?
 
Wakuu, kuna kitu kinaitwa "divide and conquer", yaani "tawanya utawale".

Kuna mifano mingi sana, wadau wa historia mna ushahidi.

Ukweli ni kwamba, wapo watu wa bara wengi wenye mali na familia Zanzibari, vile vile wapo watu wa Zanzibari wengi wenye mali na familia bara. Infact wapo watu wengi wenye asili mchanganyiko toka enzi za mababu na mababu zao. Huwezi kutofautisha mtu wa Zanzibari ni yupi na wa bara ni yupi. Wote ni wa Tanzania.

Amkeni!!! Propaganda za kitoto hizi.

Mfano, Wakenya huwa wanakumbukaga makabila yao wakati wa siasa tu. Ila wame intermarry kila kona, na wanapendana na kutaniana balaa.

Tujiulize. Ni nani anafaidika na propaganda hizi?!!! Amkeni!!!
Kwamba wapo watanzania ambao familia zao zipo zanzibar af syo wazanzibar
What. A waste
Rudi shule
 
Tuseme, katiba ya muungano ndio isiyo na maana. Nimeoa mzenji wakuu. So poa.
Mbona nimezaa na mrwanda bila ya muungano kwasababu hata tukiunda serikali ya moja bado wazenji hawatakubali
 
Kwamba wapo watanzania ambao familia zao zipo zanzibar af syo wazanzibar
What. A waste
Rudi shule
JF wanakuwekea kabisa ulichoquote kwenye reply. Umesoma au umekurupuka mkuu? Maanake ulichoandika wewe ni tofauti na nilichosema mkuu.
 
Mbona nimezaa na mrwanda bila ya muungano kwasababu hata tukiunda serikali ya moja bado wazenji hawatakubali
Tatizo ni kwamba kuna muungano, lakini hakuna serikali ya muungano.

Nakubaliana na lile wazo la kwamba kama kuna rais wa zanzibar basi pia kuwe na rais wa bara. Halafu kuwe na rais wa tatu, wa muungano. Sivyo, basi kuwe na waziri wakuu wawili na rais mmoja.

Yote haya yanahusiana na katiba.

Ila binafsi sioni umuhimu wa kuvunja muungano. Katiba ndio mbovu kama baba wetu wa taifa.
 
Hapana tuuvunje tu
 
Kweli umechafukwa mkuu. Kila mtu ana haki ya kuwa na maoni yake. Hata kama hatutakubaliana, tutakubaliana kutokukubaliana. Ama namna gani wakuu.
Huu ni muungano wa wanasiasa sisi wananchi hatujaymungana ndo maana wazenji watu wa bara wakienda kule wanashangaa
 
Huu ni muungano wa wanasiasa sisi wananchi hatujaymungana ndo maana wazenji watu wa bara wakienda kule wanashangaa
Nasikia enzi hizo wakati bara inapata uhuru, haikuwa inatambulika pale UN, ukitegemea tena sera za mwalimu uchwara za kutaka bara iwe kama nos koria. Ila Kisiwani pale toka mwanzo walikuwa wana kibali umoja wa mataifa.

Sasa ili na bara ipate kibali UN mle bila kutoa mtonyo mrefu, ndio ikabidi ka hendskheki ili wazunguke mnada bila tozo. Akili nyingi sana ilitumika hapa.

Tukumbuke kuwa, rais wa kwanza kisiwani pale asili yake ni ya mtu wa bara, kwani wengi waliopigania uhuru kisiwani mle, walikuwa ni watu waliotoka bara kutokana na mababu zao kusafirishwa kisiwani kama wajakazi enzi zile za kina sultani.

Umeona mambo yalivyokuwa mengi?
 
Tunavyojua zaidi ni mpaka Dar ,mtwara ,Tanga kote ni Zanzibar ..So muungano unazidi kuleta amani badala ya mvutano wa maeneo hayo...Kama mkivunja basi wapeni haki yao watu pwani kwenda wanapotaka ..Ila ssi kuongozwa na CHADEMA na wanaharakati hapana bora kuwa magaidi kuliko kuongozwa na lissu sijui Heche...Hatuwataki .!
 
Back
Top Bottom