FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,401
- 2,760
- Thread starter
- #81
Eeeh! Kumbe ni noma kiasi hichi. Sasa hao viongozi wa bara huwa wako wapi watu wa zanzibar wakifanya haya yote kwa mfano. Basi tuseme sisi watu wa bara ni wazembe kupita.Wataje hao wa bara wenye mali nyingi Zanzibar walau 10 tu halafu mimi nitakutajia 100 toka Zanzibar waliopora kuanzia madaraka, ardhi na mali huku Tanganyika.
Kwa uhalisia lakini zanzibar ni ndogo sana. Naturally ni ngumu kupata maeneo ya wazi, kila mahali pamewahiwa.
Huko kwenye madaraka sasa, ndio nakuambia katiba ya mwalimu uchwara ndio hiyoooooo.