Amkeni! Hili suala la Zanzibar na Tanganyika ni propaganda

Amkeni! Hili suala la Zanzibar na Tanganyika ni propaganda

Yale majangili yalioua watu kwenye MO29, yalikuwa yanatwanga tu risasi yakiamini sisi wote ni watanganyika na tunastahili kufa.

Sasa wewe unakuja na propaganda za kulazimisha umoja hapa ambao kimsingi haupo.
 
Nasikia enzi hizo wakati bara inapata uhuru, haikuwa inatambulika pale UN, ukitegemea tena sera za mwalimu uchwara za kutaka bara iwe kama nos koria. Ila Kisiwani pale toka mwanzo walikuwa wana kibali umoja wa mataifa.

Sasa ili na bara ipate kibali UN mle bila kutoa mtonyo mrefu, ndio ikabidi ka hendskheki ili wazunguke mnada bila tozo. Akili nyingi sana ilitumika hapa.

Tukumbuke kuwa, rais wa kwanza kisiwani pale asili yake ni ya mtu wa bara, kwani wengi waliopigania uhuru kisiwani mle, walikuwa ni watu waliotoka bara kutokana na mababu zao kusafirishwa kisiwani kama wajakazi enzi zile za kina sultani.

Umeona mambo yalivyokuwa mengi?
Tanganyika haikuwa imeendelea sana kuishinda zenji ,mpaka Tanzania inapata uhuru kulikuwa na siri hapa nitakuambiwa baadaye kwa vile ulikuwa ni uhuru wa kupewa.

Tanzania ilitumia kiti cha Zenji moja kwa moja bila ya kuomba chao ,ilq kumbuka zenji ilikuwa tayari iko mbele ya kila kitu ...Halafu unaposema wale waliokuwa kule ni wabara uko sahihi 90% , ni wabara hawa hawa walizaa na waarabu .

Pia undugu upo sana hata kenya na watu wa Kaskazini kama Arusha na Moshi wanafanana sana sio kesi...
 
Tunavyojua zaidi ni mpaka Dar ,mtwara ,Tanga kote ni Zanzibar ..So muungano unazidi kuleta amani badala ya mvutano wa maeneo hayo...Kama mkivunja basi wapeni haki yao watu pwani kwenda wanapotaka ..Ila ssi kuongozwa na CHADEMA na wanaharakati hapana bora kuwa magaidi kuliko kuongozwa na lissu sijui Heche...Hatuwataki .!
Kila mtu ana haki ya kuwa na maoni ayaonayo ni sawa kwake. Ila mkuu, huu mswada hauhusiani na chama chochote kile. Kwa kweli hapo ni sawa na unasogeza magoli.
 
Yale majangili yalioua watu kwenye MO29, yalikuwa yanatwanga tu risasi yakiamini sisi wote ni watanganyika na tunastahili kufa.

Sasa wewe unakuja na propaganda za kulazimisha umoja hapa ambao kimsingi haupo.
Baaaas! Hapo ndio propaganda hiyo ilianza kwamba yale majeshi yalitokea sijui sehemu flani. Hakuna ushahidi haswa, na pia unaweza kuja kushtuka pale utakapogundua watanganyika pia ndio walifanya yale matukio.

Yani pale kusudi ni kukutoa kwenye reli kwamba vitendo vile vilifanywa na serikali. Hakuna cha kisiwani, wala bara, serikali ni serikali. Wazanzibar washafaanywaga matukio sana na serikali, maanake wao walianzaga mapema sana kujieleza. Rejea historia mkuu.

Pale pale kwa hao wauaji, kulikuwa na mpumbavu mmoja alivaa jezi ya yanga. Unafikiri alikosa nguo za kuvaa?

Na je huyu sheikh, aliyesema tutakatana vichwa?

Sijui kama unaelewa namna propaganda hizo zinatuandaa kisaikolojia, kivurugana.

MAANA YAKE AMANI YETU NDIO INAWAKOSESHA KUPIGA RASILIMALI VIZURI.

Unanipata?
 
Tanganyika haikuwa imeendelea sana kuishinda zenji ,mpaka Tanzania inapata uhuru kulikuwa na siri hapa nitakuambiwa baadaye kwa vile ulikuwa ni uhuru wa kupewa.

Tanzania ilitumia kiti cha Zenji moja kwa moja bila ya kuomba chao ,ilq kumbuka zenji ilikuwa tayari iko mbele ya kila kitu ...Halafu unaposema wale waliokuwa kule ni wabara uko sahihi 90% , ni wabara hawa hawa walizaa na waarabu .

Pia undugu upo sana hata kenya na watu wa Kaskazini kama Arusha na Moshi wanafanana sana sio kesi...
Naaaam, umenena kabisa mkuu. Ndio maana ilikuwa rahisi kuweka muungano. Na ni facti kabisa kwamba kisiwani maendeleo yalishakuwa mapana.
 
Hatimaye umekili makosa yako.. Maana comment nloiandika ilikua inakuhusu wewe mwenyewe kwa uzi huu.
Sawa kabisa, tatizo ni kwamba sijaona hoja yoyote ulioitoa zaidi ya kuleta ubabe wa nani anamzidi mwenzie ujinga.
 
Muheshimiwa, weka werevu pale unapoona ujinga. Yani tupe suluhu(😂😂😂) pale unapoona kosa.

Ukikuta wanawake wana twerk mchana barabarani unatafuta solution gani zaidi ya kusikitika
 
Wakuu, kuna kitu kinaitwa "divide and conquer", yaani "tawanya utawale".

Kuna mifano mingi sana, wadau wa historia mna ushahidi.

Ukweli ni kwamba, wapo watu wa bara wengi wenye mali na familia Zanzibari, vile vile wapo watu wa Zanzibari wengi wenye mali na familia bara. Infact wapo watu wengi wenye asili mchanganyiko toka enzi za mababu na mababu zao. Huwezi kutofautisha mtu wa Zanzibari ni yupi na wa bara ni yupi. Wote ni wa Tanzania.

Amkeni!!! Propaganda za kitoto hizi.

Mfano, Wakenya huwa wanakumbukaga makabila yao wakati wa siasa tu. Ila wame intermarry kila kona, na wanapendana na kutaniana balaa.

Tujiulize. Ni nani anafaidika na propaganda hizi?!!! Amkeni!!!
🗑
Chai
 
Mtanganyika anaweza kwenda Znz na kugombea nafasi ya uongozi? Anaweza kumiliki ardhi Znz? Ni hivi hakuna wajinga wa kudumu.
Kuna Shirika moja la umma aliwekwa mtu wa Bara kama Meneja walilalamika mpaka akwekwa wa kwao. Hata kama elimu haitoshi atawekwa tu. Cha ajabu huyo mbara aliekuwa akibaguliwa ni mwislamu mwenzao. Kiti alipokonywa kisa sio wa huku (Zenji).
 
Kuwa Teka na kuwaua watanganyika ni propaganda?.CCM utawala wenu umeua watu zaidi Elf Moja.CCM imeshindwa kukizidihiiti kukundi Cha kihuni,Damu ya watanganyika imewalaani na utawala wenu umeanguka .D 25 fall of CCM dynasty
 
Sasa si propaganda ndio imefanya kazi mpaka akapokonywa kiti...
Tambua ya kuwa wanaokaa kwenye meza na kupiga mali ndio wanaoleta hizi propaganda. Kule kwenye meza hakuna cha mzenji wa mbara.
 
Kuwa Teka na kuwaua watanganyika ni propaganda?.CCM utawala wenu umeua watu zaidi Elf Moja.CCM imeshindwa kukizidihiiti kukundi Cha kihuni,Damu ya watanganyika imewalaani na utawala wenu umeanguka .D 25 fall of CCM dynasty
Mkuu waliofanya hio kazi, kinachowaunganisha ni maslahi, hakuna cha mzenji wa mtu wa bara. Na kama ulivyotaja hapo, haujakosea kabisaaaaa!!!!

Unataka kuniambia watu wa bara walikaa tu wakitoa macho wazanzibari wakaingia na kufanya hayo mambo?

Ukifungua macho utagundua, vita ni ya, wanaotumia madaraka kupata mali na wasio navyo.

Mengine yote ni propaganda, sijui mzenji vs mbara, sijui mkristo vs muislamu, mpaka walijaribu na jezi ya yanga.

FUNGUA MACHO!!!!
 
Kawaida huwa ni masikini anatafuta mchawi badala ya kupambana ashinde mechi zake
Hivi kuna wachaga, wakinga siku hizi na Wanyantuzu wengi matajiri hasa kwenye siasa za kibongo, hivi mbona hatuwaoni kwenya siasa?
Hapo ndio utajua ni mtu akiwa na uwezo wake wa kujikimu, hana muda na siasa na maisha yake na familia yake huwa hawana muda na siasa, zaidi anapambana aendelee
Hawa wanalialia mara sijui hatutaki muungano mara sisi ni tanganyika hao ni wazembe, wavivu, na hasa ni wezi kama walivyojidhirisha d29
mbona hatukusikia matajiri wowote wa Dar, Arusha au Mwanza wamepigwa risasi?
 
Back
Top Bottom