Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
muuaji ni mzenj and all zenj pigs accepted her brutality toward us! They're all the same! I HATE THOSE STUPID AND GOOD FOR NOTHING ZENJ PEOPLEWakuu, kuna kitu kinaitwa "divide and conquer", yaani "tawanya utawale".
Kuna mifano mingi sana, wadau wa historia mna ushahidi.
Ukweli ni kwamba, wapo watu wa bara wengi wenye mali na familia Zanzibari, vile vile wapo watu wa Zanzibari wengi wenye mali na familia bara. Infact wapo watu wengi wenye asili mchanganyiko toka enzi za mababu na mababu zao. Huwezi kutofautisha mtu wa Zanzibari ni yupi na wa bara ni yupi. Wote ni wa Tanzania.
Amkeni!!! Propaganda za kitoto hizi.
Mfano, Wakenya huwa wanakumbukaga makabila yao wakati wa siasa tu. Ila wame intermarry kila kona, na wanapendana na kutaniana balaa.
Tujiulize. Ni nani anafaidika na propaganda hizi?!!! Amkeni!!!
Thubutuni kuvunja sasa muoneMuungano na Zanzibar ni muungano usio na maana kabisa
Kawaida huwa ni masikini anatafuta mchawi badala ya kupambana ashinde mechi zake
Hivi kuna wachaga, wakinga siku hizi na Wanyantuzu wengi matajiri hasa kwenye siasa za kibongo, hivi mbona hatuwaoni kwenya siasa?
Hapo ndio utajua ni mtu akiwa na uwezo wake wa kujikimu, hana muda na siasa na maisha yake na familia yake huwa hawana muda na siasa, zaidi anapambana aendelee
Hawa wanalialia mara sijui hatutaki muungano mara sisi ni tanganyika hao ni wazembe, wavivu, na hasa ni wezi kama walivyojidhirisha d29
mbona hatukusikia matajiri wowote wa Dar, Arusha au Mwanza wamepigwa risasi?
Shusha nondo kamanda. Ukiskia ukweli unauma, ndio huu sasa. Wengi hawataelewa, watasema umetumwa.Kawaida huwa ni masikini anatafuta mchawi badala ya kupambana ashinde mechi zake
Hivi kuna wachaga, wakinga siku hizi na Wanyantuzu wengi matajiri hasa kwenye siasa za kibongo, hivi mbona hatuwaoni kwenya siasa?
Hapo ndio utajua ni mtu akiwa na uwezo wake wa kujikimu, hana muda na siasa na maisha yake na familia yake huwa hawana muda na siasa, zaidi anapambana aendelee
Hawa wanalialia mara sijui hatutaki muungano mara sisi ni tanganyika hao ni wazembe, wavivu, na hasa ni wezi kama walivyojidhirisha d29
mbona hatukusikia matajiri wowote wa Dar, Arusha au Mwanza wamepigwa risasi?
Mkuu umelishwa matango pori, ukaamua kuchemsha mawe. Wazenji(wananchi wa kawaida) wenyewe wanajiskia vibaya kama watu wa bara. Fanya utafiti.muuaji ni mzenj and all zenj pigs accepted her brutality toward us! They're all the same! I HATE THOSE STUPID AND GOOD FOR NOTHING ZENJ PEOPLE
😂😂😂 huyu atakuwa ndie aliyechanganya ule udongo. Uko sawa mkuu, lakini punguza presha. Watu hawapendi mapigo ya ki mwalimu mkuu.Thubutuni kuvunja sasa muone
Utavunjika wenyewe tu hamna hata atakayevunjaThubutuni kuvunja sasa muone
Maishaaaa...labda rift valley iamue.Utavunjika wenyewe tu hamna hata atakayevunja
mimi siishi huko sasa nitajuaje kama wamejisikia vibaya ikiwa hawakufungua vinywa vyao ili kulaani ukatili tulotendewa? Yaani wako kimyaaaa!Mkuu umelishwa matango pori, ukaamua kuchemsha mawe. Wazenji(wananchi wa kawaida) wenyewe wanajiskia vibaya kama watu wa bara. Fanya utafiti.
Wachumia tumbo wapo wengi sana bara, na wapo wengi zenji. Hao ndio nguruwe unaotakiwa kuwakataa
Si ndio yale yale ya kubebwa juu juu ukianza kupayuka. Kwanza zenji ndio inakuwaga balaa maanake ni wachache. Kushughulikiwa ni chapu.mimi siishi huko sasa nitajuaje kama wamejisikia vibaya ikiwa hawakufungua vinywa vyao ili kulaani ukatili tulotendewa? Yaani wako kimyaaaa!
Hizi POROJO unaandika kabisa hapa JF!Nasikia enzi hizo wakati bara inapata uhuru, haikuwa inatambulika pale UN, ukitegemea tena sera za mwalimu uchwara za kutaka bara iwe kama nos koria. Ila Kisiwani pale toka mwanzo walikuwa wana kibali umoja wa mataifa.
Sasa ili na bara ipate kibali UN mle bila kutoa mtonyo mrefu, ndio ikabidi ka hendskheki ili wazunguke mnada bila tozo. Akili nyingi sana ilitumika hapa.
Tukumbuke kuwa, rais wa kwanza kisiwani pale asili yake ni ya mtu wa bara, kwani wengi waliopigania uhuru kisiwani mle, walikuwa ni watu waliotoka bara kutokana na mababu zao kusafirishwa kisiwani kama wajakazi enzi zile za kina sultani.
Umeona mambo yalivyokuwa mengi?
Kasome mkuu. UtachekwaHizi POROJO unaandika kabisa hapa JF!
Unasikia?
Kutoka kwa nani unasikia?
Porojo za vijiweni.Kasome mkuu. Utachekwa
Sikulaumu mkuu. Ukiwa na Phd ya vijiweni unaona kila kitu ni cha kijiweni. Sikulaumu chifu.Porojo za vijiweni.
Kwanini wanatuua? Kwanini hatupati nafasi za uongozi kwao? Mbona ratio ya population na nafasi wanazopata kwenye muungano havina uwiano? Nitajie hata Mtanganyika mmoja mwenye cheo let’s say ndani ya KMKM, wao wamejazana mpaka kwenye mambo yasiyo ya muungano huu wa mchongo.Wakuu, kuna kitu kinaitwa "divide and conquer", yaani "tawanya utawale".
Kuna mifano mingi sana, wadau wa historia mna ushahidi.
Ukweli ni kwamba, wapo watu wa bara wengi wenye mali na familia Zanzibari, vile vile wapo watu wa Zanzibari wengi wenye mali na familia bara. Infact wapo watu wengi wenye asili mchanganyiko toka enzi za mababu na mababu zao. Huwezi kutofautisha mtu wa Zanzibari ni yupi na wa bara ni yupi. Wote ni wa Tanzania.
Amkeni!!! Propaganda za kitoto hizi.
Mfano, Wakenya huwa wanakumbukaga makabila yao wakati wa siasa tu. Ila wame intermarry kila kona, na wanapendana na kutaniana balaa.
Tujiulize. Ni nani anafaidika na propaganda hizi?!!! Amkeni!!!
Karume alikuwa Mmalawi, hana uhusiano na Tanganyika. Tanganyika imetambulika tokea Wazungu wanagawana Afrika kule Berlin ndiyo maana Mchonga aliweza kupiga poroja huko UN mpaka Wazungu wakasepa, sasa hivi huyu mkoloni wa Kizanzibari abatupelekesha kwa kuwa tumeyataka wenyewe.Nasikia enzi hizo wakati bara inapata uhuru, haikuwa inatambulika pale UN, ukitegemea tena sera za mwalimu uchwara za kutaka bara iwe kama nos koria. Ila Kisiwani pale toka mwanzo walikuwa wana kibali umoja wa mataifa.
Sasa ili na bara ipate kibali UN mle bila kutoa mtonyo mrefu, ndio ikabidi ka hendskheki ili wazunguke mnada bila tozo. Akili nyingi sana ilitumika hapa.
Tukumbuke kuwa, rais wa kwanza kisiwani pale asili yake ni ya mtu wa bara, kwani wengi waliopigania uhuru kisiwani mle, walikuwa ni watu waliotoka bara kutokana na mababu zao kusafirishwa kisiwani kama wajakazi enzi zile za kina sultani.
Umeona mambo yalivyokuwa mengi?
Mkuu kweli umeshusha nondo, sidhani watu wa bara, haswa wenye vyeo, wangeweza kukaa kimya na kuona KMKM wakifanya vyao. Lile ni tukio la kiserikali, usifikiri watataka ijulikane laivu kwamba ni inside job. KMKM wamekuwa scapegoats tu.Kwanini wanatuua? Kwanini hatupati nafasi za uongozi kwao? Mbona ratio ya population na nafasi wanazopata kwenye muungano havina uwiano? Nitajie hata Mtanganyika mmoja mwenye cheo let’s say ndani ya KMKM, wao wamejazana mpaka kwenye mambo yasiyo ya muungano huu wa mchongo.
Hamna porojo alizopiga UN, alienda lancaster. Na walifanya kumuachia tu maanake huku walionaga hamna cha maana nyikani, wao walitaka UG na K.E. Bara ilikuwa ni sehemu ya kuwinda.Karume alikuwa Mmalawi, hana uhusiano na Tanganyika. Tanganyika imetambulika tokea Wazungu wanagawana Afrika kule Berlin ndiyo maana Mchonga aliweza kupiga poroja huko UN mpaka Wazungu wakasepa, sasa hivi huyu mkoloni wa Kizanzibari abatupelekesha kwa kuwa tumeyataka wenyewe.
Wataje hao wa bara wenye mali nyingi Zanzibar walau 10 tu halafu mimi nitakutajia 100 toka Zanzibar waliopora kuanzia madaraka, ardhi na mali huku Tanganyika.Wakuu, kuna kitu kinaitwa "divide and conquer", yaani "tawanya utawale".