Na mbaya zaidi wanakula na mataifa ya nje, sisi wazaliwa tumetupiliwa mbali.Mbaya zaidi waliokuwa wanapiga kelele (viongozi wa chadema na act) nao wamealikwa mezani wanalamba tu asali kumamamakhee.
ITAPENDEZA ukiweka nyama jinsi wanavyokula na kiasi hicho kwa mtu mmoja au kikundi chaoAcheni kupumbazwa nakauli za CCM kuwa Tanzania ni maskini lipo kundi dogo ndani ya CCM linaitafuna hii nchi kwa kupeana vyeo mbalimbali katika maeneo mbalimbali.
Nchi yetu siyo maskini bali kundi la watu wachache ndani ya CCM ndiyo majizi makubwa yanayitafuna fedha za umma na kuingia mikataba mibovu katika mali asili zetu.
Wewe Mtanzania amka kataa kundi hilo la ukoo wa kambale linaloharibu nchi yetu, kubadili chama siyo kigezo cha kuwamaliza watu hao katiba mpya ni mwarobaini wa hayo yote na sheria kali ambazo zinatokana na Katiba hiyo.
Nchi yetu inaliwa mnoo amkeni amkeni Watanzania tusiburuzwe na kundi hilo amkeni
Upo gizani sana na kama haupo gizani basi wewe ni mnufaika mkubwa wa kikundi hicho ! Hayo unayoyasema kamuulize mwanao mwenye umri wa miaka 22-25 awe wakiume wa kike atakupa majibu ya unachokiuliza.ITAPENDEZA ukiweka nyama jinsi wanavyokula na kiasi hicho kwa mtu mmoja au kikundi chao
Acheni kupumbazwa nakauli za CCM kuwa Tanzania ni maskini lipo kundi dogo ndani ya CCM linaitafuna hii nchi kwa kupeana vyeo mbalimbali katika maeneo mbalimbali.
Nchi yetu siyo maskini bali kundi la watu wachache ndani ya CCM ndiyo majizi makubwa yanayitafuna fedha za umma na kuingia mikataba mibovu katika mali asili zetu.
Wewe Mtanzania amka kataa kundi hilo la ukoo wa kambale linaloharibu nchi yetu, kubadili chama siyo kigezo cha kuwamaliza watu hao katiba mpya ni mwarobaini wa hayo yote na sheria kali ambazo zinatokana na Katiba hiyo.
Nchi yetu inaliwa mnoo amkeni amkeni Watanzania tusiburuzwe na kundi hilo amkeni
Acha wivu pambana huko huko ccm achana na Chadema.Mbaya zaidi waliokuwa wanapiga kelele (viongozi wa chadema na act) nao wamealikwa mezani wanalamba tu asali kumamamakhee.
Umeongea ukweli..bila kuamua kwa damu na jasho tutabaki tunalia na kulalamika.Watanzania ni sawa na watu wanaolilia kwenda polar regions kwa sababu picha tu walizoona zinavutia.
Kinachowavutia kwenda na uhalisia wa kuishi huko ni vitu viwili tofauti.
Sasa wewe jichuze kuwaongoza huko wanapotaka kwenda uone kasheshe lake. Mjomba lawama zote utapewa katikati ya safari ukishaanza kuwalaza kwenye matent na baridi, kuwapeleka kuvua samaki kwenye mto wa barafu.
Yaani shida kidogo wewe uliewapeleka huko ndio tatizo hufai ata kidogo wakati wao wenyewe ndio walikufuata wanataka kuishi Antarctic.
Hao ndio watanzania wanataka mabadiliko isipokuwa hawajui safari yenyewe ikoje.
Ndio, Magufuli alikuwa na mapungufu yake, lakini kitu ambacho kaonyesha dunia na hasa waafrica hatuko tayari kwa mabadiliko.
Watanzania wanadhani ipo siku mafisadi wataamka tu na kuwa na huruma nao, bila ya kiongozi mmoja wa kupambana nao kuwabadili tabia.
Inafikirisha sana !!Watanzania ni sawa na watu wanaolilia kwenda polar regions kwa sababu picha tu walizoona zinavutia.
Kinachowavutia kwenda na uhalisia wa kuishi huko ni vitu viwili tofauti.
Sasa wewe jichuze kuwaongoza huko wanapotaka kwenda uone kasheshe lake. Mjomba lawama zote utapewa katikati ya safari ukishaanza kuwalaza kwenye matent na baridi, kuwapeleka kuvua samaki kwenye mto wa barafu.
Yaani shida kidogo wewe uliewapeleka huko ndio tatizo hufai ata kidogo wakati wao wenyewe ndio walikufuata wanataka kuishi Antarctic.
Hao ndio watanzania wanataka mabadiliko isipokuwa hawajui safari yenyewe ikoje.
Ndio, Magufuli alikuwa na mapungufu yake, lakini kitu ambacho kaonyesha dunia na hasa waafrica hatuko tayari kwa mabadiliko.
Watanzania wanadhani ipo siku mafisadi wataamka tu na kuwa na huruma nao, bila ya kiongozi mmoja wa kupambana nao kuwabadili tabia.
Hacha ujinga wewe kibaraka, mkisikia maneno kama haya pia chawa, jitihada zozote za kuwafumbua watu macho always huwa mnarukia haraka ili kuwakatisha tamaa.Mbaya zaidi waliokuwa wanapiga kelele (viongozi wa chadema na act) nao wamealikwa mezani wanalamba tu asali kumamamakhee.
Ukweli mchungu huu! Ifikie wakati tutoke kwenye huu usingizi wa pono.Acheni kupumbazwa nakauli za CCM kuwa Tanzania ni maskini lipo kundi dogo ndani ya CCM linaitafuna hii nchi kwa kupeana vyeo mbalimbali katika maeneo mbalimbali.
Nchi yetu siyo maskini bali kundi la watu wachache ndani ya CCM ndiyo majizi makubwa yanayitafuna fedha za umma na kuingia mikataba mibovu katika mali asili zetu.
Wewe Mtanzania amka kataa kundi hilo la ukoo wa kambale linaloharibu nchi yetu, kubadili chama siyo kigezo cha kuwamaliza watu hao katiba mpya ni mwarobaini wa hayo yote na sheria kali ambazo zinatokana na Katiba hiyo.
Nchi yetu inaliwa mnoo amkeni amkeni Watanzania tusiburuzwe na kundi hilo amkeni
Nashauri na nadhan tuanze kuwataja.Acheni kupumbazwa nakauli za CCM kuwa Tanzania ni maskini lipo kundi dogo ndani ya CCM linaitafuna hii nchi kwa kupeana vyeo mbalimbali katika maeneo mbalimbali.
Nchi yetu siyo maskini bali kundi la watu wachache ndani ya CCM ndiyo majizi makubwa yanayitafuna fedha za umma na kuingia mikataba mibovu katika mali asili zetu.
Wewe Mtanzania amka kataa kundi hilo la ukoo wa kambale linaloharibu nchi yetu, kubadili chama siyo kigezo cha kuwamaliza watu hao katiba mpya ni mwarobaini wa hayo yote na sheria kali ambazo zinatokana na Katiba hiyo.
Nchi yetu inaliwa mnoo amkeni amkeni Watanzania tusiburuzwe na kundi hilo amkeni
Hachana na dictator JPM, uyo jamaa alikuwa mwizi balaa.Watanzania ni sawa na watu wanaolilia kwenda polar regions kwa sababu picha tu walizoona zinavutia.