PETER THE ROCK
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 528
- 807
Tafuta kiongozi. Siwaoni hao wenye nia ya kujenga Taifa. Sababu kubwa tumeua elimu fikirishi inayotumia mafunzo ya historia kuongoza ujenzi wa Taifa. Uongozi unahitaji elimu kama huamini jaribu ujinga!Amkeni amkeni watu wachache na kikundi chao hawawezi kutufanya sisi wajinga wakutupwa kwa kutoa fursa ndogo huku wakifuja fedha za umma kwa matumbo yao. Jaman nchi inatafunwa kwelikweli wakuu siyo mchezo.
Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app