Amkeni Watanzania, nchi yetu siyo masikini; ni kikundi cha watu wachache kinaitafuna

Amkeni Watanzania, nchi yetu siyo masikini; ni kikundi cha watu wachache kinaitafuna

Kijana Kaa kimyaaa.fikir kabla ya kuongea.anayetunga hiyo Sheria ni nani?? Si ni hao hao unaowasema!!!!.pia anayetunga katiba na kuiandika ni hao hao.we Tulia tu.
Wewe usiniletee mimi hasira za umasikini wako Kenge wewe,mimi nimecomment neno "Aisee" sasa wewe umetafsirije na kuja kuharisha hapa? We mpuuzi umepotea njia jaribu kwa wengine hizo taarabu zako.
 
Amkeni amkeni watu wachache na kikundi chao hawawezi kutufanya sisi wajinga wakutupwa kwa kutoa fursa ndogo huku wakifuja fedha za umma kwa matumbo yao. Jaman nchi inatafunwa kwelikweli wakuu siyo mchezo.
 
Nchi yetu inaliwa mnoo amkeni amkeni Watanzania tusiburuzwe na kundi hilo amkeni
Kuna komenti ya mtu humu imenisukuma kuangalia nyuzi zako za nyuma, umeandika kwa uchungu sana, vizuri...ila nguvu hii hii ungeitumia kusema ukweli wa awamu ya tano ningeona una hoja..ila naona mfumo umekutupa ndo maana unakuja kulialia, nchi inaliwa tunafahamu Mzee, Hata mwendazake alikuwa nguli kwenye kututafuna na hakujali kuhusu masikini, zaidi zaidi aliwahadaa tu.siku watza Wakiamka usingizini watafanya maamuzi tu usiogope sana. Kwa sasa ni awamu ya SITA acha wale hakuna namna
 
Sasa wewe endelee kusema mawazo ya kidikteta jiulize marekani ilipata Uhuru wake kivipi na jiulize nchi nyingi Afrika zilipata Uhuru wake kivipi we kwa akili zako unaamini CCM itaondoka madarakani kwa njia ya sanduku la kura endelea kusubiri meli airport 😄
Kwenye mfumo wa demokrasia watu wanachaguliwa kwa kura. Mao Zedong alikuwa na mawazo ya kikomunsti na kidikteta.
 
Sasa wewe endelee kusema mawazo ya kidikteta jiulize marekani ilipata Uhuru wake kivipi na jiulize nchi nyingi Afrika zilipata Uhuru wake kivipi we kwa akili zako unaamini CCM itaondoka madarakani kwa njia ya sanduku la kura endelea kusubiri meli airport 😄

Kwa sababu hatuna demokrasia ya kweli. Tungekuwa nayo wapiga kura wangeweza kuondoa chama chochote madarakani hata hiyo CCM.
 
Kwa sababu hatuna demokrasia ya kweli. Tungekuwa nayo wapiga kura wangeweza kuondoa chama chochote madarakani hata hiyo CCM.
Hivi unadhani CCM hawajui siasa kuwa wakiwa nje ya madaraka watateseka bila nguvu ya umma maandamano nchi nzima kushinikiza wao watoke au bila mapinduzi ya kiraia au kijeshi sahau kuona CCM ikitoka kwa njia ya sanduku la kura michezo yote ya kiuchaguzi CCM ndio mahala pake hakuna upinzani utakao shika dola kwa njia ya sanduku la kula haiwezi tokea mpaka Mwisho wa dunia sahau hilo Uhuru hauletwi kwa sanduku la kura Bali unaletwa kwa mapambano ya kimaandano au mapambano ya mtutu wa bunduki
 
Hayo unayozungumzia yanafanyika nje ya mfumo wa demokrasia. Kwenye demokrasia si unaona Trump kaachia madaraka kampishe Biden? Na Biden naye ataachia mwingine baadaye.
 
Hayo unayozungumzia yanafanyika nje ya mfumo wa demokrasia. Kwenye demokrasia si unaona Trump kaachia madaraka kampishe Biden? Na Biden naye ataachia mwingine baadaye.
Ndio maana Mao Zedong akasema nguvu ya kiutawala inapatikana kwa mtutu wa bunduki. hivi unadhani wakoloni Africa walipenda kuondoka Jinsi ambavyo wakoloni hawakupenda kuondoka Africa ndivyo ambavyo wakoloni weusi [ CCM ] hawatakubali iwe kwa jasho au damu kuachia dola sahau hilo
 
Tungekuwa na demokrasia kusingekuwa na haja ya kutumia mtutu wa bunduki kutawala.
 
Acheni kupumbazwa nakauli za CCM kuwa Tanzania ni maskini lipo kundi dogo ndani ya CCM linaitafuna hii nchi kwa kupeana vyeo mbalimbali katika maeneo mbalimbali.

Nchi yetu siyo maskini bali kundi la watu wachache ndani ya CCM ndiyo majizi makubwa yanayitafuna fedha za umma na kuingia mikataba mibovu katika mali asili zetu.

Wewe Mtanzania amka kataa kundi hilo la ukoo wa kambale linaloharibu nchi yetu, kubadili chama siyo kigezo cha kuwamaliza watu hao katiba mpya ni mwarobaini wa hayo yote na sheria kali ambazo zinatokana na Katiba hiyo.

Nchi yetu inaliwa mnoo amkeni amkeni Watanzania tusiburuzwe na kundi hilo amkeni
Ccm ni mafii ...sasa hivi ccm ipo mikononi mwa waarabu wa omani wenye hasira na nyerere
 
TANGU AWALI, CCM INA SYSTEM YA WATU WENYE KUNEEMEKA NA NCHI, SIO HAWA SISIEMU WA TISHIRT NA KOFIA.
KUNA KINA ROSTAM, HAWA NDIO WAPANGA MIPANGO YA ULAJI.HAWA NDIO WANAPANGA SAFU YA UONGOZI WA NCHI

NA SASA HIVI WAMEKUJA NA AGENDA YA KATIBA MPYA, MWAKA 2025 KWENYE UCHAGUZI KATIBA MPYA ITAONEKANA NI MATAKWA YA CCM NA SIO UPINZANI TENA. NA KATIBA HIYO MPYA YA CCM HAITAKUWA YA WANANCHI TENA ITAKUWA YA WENYE SYSTEM.NA ULAJI UTAENDELEA KAMA UTAMADUNI ULIVYO.

MABADIRIKO KWENYE NCHI ZETU HIZI NI MPAKA KWA UBATIZO WA DAMU.
 
Hapo umenena ukweli. Tungeanza na demokrasia tangu tumepata uhuru, leo tungekuwa na demokrasia imara.
Ni kweli kuwa na demokrasia halisi na iliyohai Ni Jambo jema na lenye kuchochea usawa , haki pamoja na maendeleo ya nchi kwa ukubwa zaidi tofauti na udikteta unaoteka fikra za watu na unazalisha jamii ya watu waoga na pia hudumaza maendeleo Sana . Hivyo kwa Tanzania haiitajiki demokrasia tu bali demokrasia iliyo hai kwa mustakabali mwema wa maendeleo ya taifa letu litakalokuwa na usawa, haki pamoja na Uhuru wa kimaoni miongoni mwa wanajamii
 
Mungu tunusu na hili janga la ccm majizi yamejipenyeza ndani ya mfumo wa serikali na chama yanaitafuna nchi hatari watanzania tufanye nini tuamue maana hali ni tete hawana huruma na wananchi kabisa wakuu
 
Inasikitisha sana..
 
Hii nchi serikalini kuna watu wana pesa sio mchezo tatzo ndo liko apo adi uingie kwenye System sio leo
 
Back
Top Bottom