Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

Usilinganishe vitu vya kijinga na Ileje! Mwana Ileje anaweza akaenda Malawi au Zambia wala hahitaji passport!
 
Kwahiyo umeridhika kuuziwa cement elf 35 wakati huo simu unatumia VPN

nyie watu vichwani mna upepo tu
Tumeridhika na kukimbia nchi huku tukiitukana haina amani ila kuna babu na bibi zetu pamoja na ndugu kibao ambao wapo busy na mishe zao.
Ila sisi wabinafsi ndio tunakuwa vubaraka wa wazungu.
Sasa mwenye upepo kichwani ni nani kati ya mimi na wewe.
 
Usilinganishe vitu vya kijinga na Ileje! Mwana Ileje anaweza akaenda Malawi au Zambia wala hahitaji passport!
Hahahaha yamebanwa mbavu mpaka hayawezi kuhema, mlizani watanzania ni mazuzu, na bado lazima mkomeshwe kabisa pimbi wakubwa
 
Hap Naon kunania ovuu ya hawa wapinzani kutaka Kuaminisha dunia kuwa maisha yao yapo hatarili na Tanzania inanyanyasa wapinzani lakini turudi nyuma twende mbele sisi ndio watanzania na tunaijua tanzania kushinda hao watu weupe binafsi naona hmn jambo lolote baya ni kutakaa kutengeneza propaganda za kijingaa tu kwa maslai yao wenyewe na sio ya nchii
 
Haya mashirika ya kutetea wahalifu naomba ofisi zao zifungwe TZ kwani madumu yao ya petrol kuchomea moto mali za watu bado tunayo na wote wana kesi kibao mahakamani kila mahali kwa hiyo hii isomeke na ieleweke wazi kwamba hizi asasi au mashirika vinatoa hukumu ya kesi za wahalifu wetu kwa kuwaachia huru kinamna
 
Watanzania wamewakataa wapuuzi hawa na sasa wanahaha
 
Hizi ni sarakasi.. Amekimbia kwanini? Kwanini hakukimbia kabla ya uchaguzi!!?

Kama maisha yake yanatishiwa kwanini hajatoa taarifa katika mamlaka husika?
 
Tena waodoke ,waodoke wote wanaopenda kuwa wakimbizi!
Waulizeni wapemba waliokimbilia Shimoni Mombasa wakipata faida gani?

Akili za kushikiwa siyo nzuri
 
Genge la wahuni linaanza kusambaratika. Wengine Kenya, wengine Ubelgiji. Nendeni kwa amani.
 
Tena waodoke ,waodoke wote wanaopenda kuwa wakimbizi!
Waulizeni wapemba waliokimbilia Shimoni Mombasa wakipata faida gani?

Akili za kushikiwa siyo nzuri
Punguani, punguani tu. Akirudi kutoka huko ni mwendo wa kuunga mkono juhudi tu. Chama cha mfukoni, kwisha habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…