Freeman mbowe yeye ataondoka lini nchini mana sasa wanatishiwa kuuliwaKwa upumbavu ulionao inalinganisha vitu visivyofanana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Freeman mbowe yeye ataondoka lini nchini mana sasa wanatishiwa kuuliwaKwa upumbavu ulionao inalinganisha vitu visivyofanana.
Usilinganishe vitu vya kijinga na Ileje! Mwana Ileje anaweza akaenda Malawi au Zambia wala hahitaji passport!Hawa pimbi walikuwa wanajifanya vidume kutukana tukana warejee sasa. Ndiyo maana tuliwaambia hawa vibaraka wanajua pa kukimbilia ila mtanzania wa kawaida wa ileje hata akienda kenya atafukuzwa ka mbwa. Lema ni mjanja mjanja, anajifanya kukimbia kesi ili aonewe huruma, hayo maigizo yataisha tu, na Tanzania itaendelea.
Sana tuKWA HIYO UNAMAANISHA BOBI WINE ALISHAPITIA MAGUMU ZAIDI YA LISU SIO?
Wakati muafaka ukifika ataondoka!Freeman mbowe yeye ataondoka lini nchini mana sasa wanatishiwa kuuliwa
Kule 'O-level' nilijifunza kwamba wakati Homo erectus akijulikana kama 'The man who walked upright', Zinjathropus yeye alijulikana pia kama 'Nut cracker'. Hivyo huyo jamaa ni Zinja.Tulia wewee nut cracker
Tumeridhika na kukimbia nchi huku tukiitukana haina amani ila kuna babu na bibi zetu pamoja na ndugu kibao ambao wapo busy na mishe zao.Kwahiyo umeridhika kuuziwa cement elf 35 wakati huo simu unatumia VPN
nyie watu vichwani mna upepo tu
Hahahaha yamebanwa mbavu mpaka hayawezi kuhema, mlizani watanzania ni mazuzu, na bado lazima mkomeshwe kabisa pimbi wakubwaUsilinganishe vitu vya kijinga na Ileje! Mwana Ileje anaweza akaenda Malawi au Zambia wala hahitaji passport!
Haya mashirika ya kutetea wahalifu naomba ofisi zao zifungwe TZ kwani madumu yao ya petrol kuchomea moto mali za watu bado tunayo na wote wana kesi kibao mahakamani kila mahali kwa hiyo hii isomeke na ieleweke wazi kwamba hizi asasi au mashirika vinatoa hukumu ya kesi za wahalifu wetu kwa kuwaachia huru kinamnaKatika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha Mwanasiasa wa Upinzani, Godbless Lema au familia yake kwenye mateso ya kisiasa au uwezekano wa kufungwa Tanzania.
Mkurugenzi wa Amnesty International nchini Kenya, Irungu Houghton amesema kanuni ya kimataifa iliyoridhiwa na sheria za Kenya hairuhusu Kenya kuwarudisha watu kwenye mipaka kwenye nchi ambayo wamo kwenye mateso au hatari.
Karibuni, Godbless Lema alikimbila nchini Kenya na mkewe na watoto watatu akiomba hifadhi kutoka serikali ya Kenya. Lema na familia yake walivuka mpaka wa Namanga Novemba 8, 2020. Amnesty inaamini yupo chini ya polisi eneo la Kajiado, Kenya. Wakili wake, Prof. George Wajackoyah pia amethibitisha uwezekano wa kurejeshwa.
PIA, SOMA: Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020
View attachment 1622630
Watanzania wamewakataa wapuuzi hawa na sasa wanahahaHap Naon kunania ovuu ya hawa wapinzani kutaka Kuaminisha dunia kuwa maisha yao yapo hatarili na Tanzania inanyanyasa wapinzani lakini turudi nyuma twende mbele sisi ndio watanzania na tunaijua tanzania kushinda hao watu weupe binafsi naona hmn jambo lolote baya ni kutakaa kutengeneza propaganda za kijingaa tu kwa maslai yao wenyewe na sio ya nchii
Lema yupo kwenye mateso yapi? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge?
Acheni utoto jamani.
CHADEMA kwa sinema mna jambo lenu, you guys deserve an oscar.
CHADEMA kwa sinema mna jambo lenu, you guys deserve an oscar.
Vitimbwi ni vingi kuliko nyasi za uwanja wa mkapa.NI kweli wanahitaji tuzo .
Kupigwa risasi 30 na usife wewe NI mtu wa ajabu sana
Unanuka harufu ya damu!Hahahaha yamebanwa mbavu mpaka hayawezi kuhema, mlizani watanzania ni mazuzu, na bado lazima mkomeshwe kabisa pimbi wakubwa
Punguani, punguani tu. Akirudi kutoka huko ni mwendo wa kuunga mkono juhudi tu. Chama cha mfukoni, kwisha habari yake.Tena waodoke ,waodoke wote wanaopenda kuwa wakimbizi!
Waulizeni wapemba waliokimbilia Shimoni Mombasa wakipata faida gani?
Akili za kushikiwa siyo nzuri