Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Lema yupo kwenye mateso yapi ?? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge??
Acheni utoto jamani.
Kwakuwa wewe uko salama unadhani kila mtu yupo salama kama wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema yupo kwenye mateso yapi ?? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge??
Acheni utoto jamani.
Kwa hiyo inamaana CHADEMA wangeshinda wangeuza mfuko shs 5???
Kwahiyo umeridhika kuuziwa cement elf 35 wakati huo simu unatumia VPNKwa hiyo inamaana CHADEMA wangeshinda wangeuza mfuko shs 5?
Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema?...
Kwani lema kwenda kuishi kenya,wewe utakosa nini?!ni kipi ulichokua unamtegemea mpaka unalialiaLema yupo kwenye mateso yapi ?? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge??
Acheni utoto jamani.
Upinzani kwa uelewa wako ni jukumu la Kikundi fulani hivi cha watu? Kama wao wamekuwa Soft wewe ukoje? Wewe kwa nini huchukui nafasi yao ili kuonyesha njia?Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema? Kwamba sasa Tanzania litakuwa shamba la ngedere, kwa sababu nyuma ya Tundu Lissu na Lema na wenzao kuna Watanzania ambao wana matumaini nao sana. Na hii maana yake ni kwamba Upinzani kule Tanzania bara ndio umeshakata roho watu waanze alifu au waanze mwanzo...
Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema?...
Jusa anarudi yule jamaa ni Mara 10 ya maalimu seifJussa naye sijui kama anarudi. Tunaenda kuwa na kitu hatari sana
Mnajidanganya upinzani bado sana nchi hii, hadi hapo ccm itakapogawanyika ndiyo tutapata wapinzani makini, lakini hawa wanamziki, Djs na wanaharakati hawataiweza CCM.Kuna mifano mingi tu viongozi wa upinzani wanaenda nje ya nchi zao, then wakati salama ukifika wao kurudi nyumbani huwa wanarudi, mfano Congo DR imetokea sana...
Kigoma waliandamana kushinikiza mwami atangazwe Lindi walisimama kuandamana kupinga mama kikwete.Tofauti ya siasa za Tanzania bara na huko kwingine ni kuwa, Huko Zanzibar, Uganda, South Africa etc viongozi wa upinzani wana support kubwa ya watu hata pindi itakapohitajika kuingia barabarani hata kumwaga damu.
Tanzania bara huku uoga mwingi tena umezidi awamu hii, hakuna revolt yoyote, simply ile peoples power haipo tena, Viongozi wa upinzani wamebaki yatima hakuna wa kusimama nao, hivyo sometimes wanaona ni bora wakimbilie nchi za nje.
Hawa pimbi walikuwa wanajifanya vidume kutukana tukana warejee sasa. Ndiyo maana tuliwaambia hawa vibaraka wanajua pa kukimbilia ila mtanzania wa kawaida wa ileje hata akienda kenya atafukuzwa ka mbwa. Lema ni mjanja mjanja, anajifanya kukimbia kesi ili aonewe huruma, hayo maigizo yataisha tu, na Tanzania itaendelea.Jiwe ndio anapenda wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.
Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.
Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.
Sivizuri kumuombea mtu kifo siajabu hujaomba chochote kwake akashindwa kukusaidia mnyonge mnyongeni haki yake mumpe jamani mzee huruma anayo sana mfano sisi wavuvi wakata yakalya tunaimani atatusaidia nakuturudishia mali zetu halali sio kusuguana na mkuu kumbuka anamadaraka makubwa akiamua utakuwa.Msiba mkubwa wa Taifa nini? Afe tu jamaa taifa Lipate afueni!
Dalili zote zinaonesha, naskia kuna mbunge mmoja ameshaandaa draft ya kumuongezea muda anataka kuiwasilisha bungeni hivi karibuni.Sikia nikwambie Jiwe alivyo kama ulikua mpinzani na una hela benki kwanza assets zako zote zinakua frozen, kama una mil 100 inageuka kua sifuri in one day. Unaandamwa vibaya mno, unasukiwa kesi za kutunga, soon utasikia wote magaidi watupwe jela. Na kuna watu wanashangilia. Wanaofanikiwa kukimbia wanakimbia nchi kama huyu ila wanaondoka labda na cash, kama walikua smart nategemea walikaa na cash au vitu kama gold sio kukaa na hela bank...