Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema? Kwamba sasa Tanzania litakuwa shamba la ngedere, kwa sababu nyuma ya Tundu Lissu na Lema na wenzao kuna Watanzania ambao wana matumaini nao sana. Na hii maana yake ni kwamba Upinzani kule Tanzania bara ndio umeshakata roho watu waanze alifu au waanze mwanzo.

Mbona Maalim Seif miaka yote hiyo hajawahi kukimbia na vitisho babkubwa alivyokuwa anapata hadi sasa na juzi alijitoa barabarani na akina Jussa na wenzake na bado yupo Unguja. Boby Wine Uganda sidhani kama kuna mfano wa hilaki anayoipata Uganda na kiongozi yeyote wa upinzani huko Tanzania mbona hajaondoka akawaacha walioeka matumaini kwake, Julius Malema South Africa na mifano mingi ipo.

Kama wao wamekuwa soft hivi kweli hawa wataweza kuongoza maandamano ata kilomita 1?

Mi nadhani Zanzibar inaweza kuchukua karne1 kujikomboa lakini Tanzania bara itachukua karne 1000 zaidi.

Tundu Lissu namlaumu sana alikuwa na impact kubwa sana kwenye kampeni watanzania walimpokea na kumkubali mpaka kuweza kupindua hoja za chama tawala kuhusu maendeleo yaliyoletwa lakini amekuwa easly na cheep baada hichi kilichotokea mwisho ameenda ubalozini sijui atarudi belgium muda usiojulikana.
 
Kuna mifano mingi tu viongozi wa upinzani wanaenda nje ya nchi zao, then wakati salama ukifika wao kurudi nyumbani huwa wanarudi, mfano Congo DR imetokea sana.

Usiogope.

Tena wanaporudi huwa wanaleta hamasa mpya, sioni tatizo kwenye hili, ukumbuke upinzani wa kweli huwa haufi kwenye mioyo ya watu, huwa unapozwa na hali kama tuliyonayo sasa (ubabe wa watawala).
 
Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema?...

Museveni alichukua Uganda baada ya kukimbia na kurudi akitokea Tanzania. Laurent Kabila mkubwa aliichukua Zaire akitokea Tanzania baada ya kumkimbia dictator Mobotu. Hakuna njia moja ya kupambana na madictator boss, na kukimbia sio woga bali ni kujipanga.
 
Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema? Kwamba sasa Tanzania litakuwa shamba la ngedere, kwa sababu nyuma ya Tundu Lissu na Lema na wenzao kuna Watanzania ambao wana matumaini nao sana. Na hii maana yake ni kwamba Upinzani kule Tanzania bara ndio umeshakata roho watu waanze alifu au waanze mwanzo...
Upinzani kwa uelewa wako ni jukumu la Kikundi fulani hivi cha watu? Kama wao wamekuwa Soft wewe ukoje? Wewe kwa nini huchukui nafasi yao ili kuonyesha njia?
 
Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema?...

Tofauti ya siasa za Tanzania bara na huko kwingine ni kuwa, Huko Zanzibar, Uganda, South Africa etc viongozi wa upinzani wana support kubwa ya watu hata pindi itakapohitajika kuingia barabarani hata kumwaga damu.

Tanzania bara huku uoga mwingi tena umezidi awamu hii, hakuna revolt yoyote, simply ile peoples power haipo tena, Viongozi wa upinzani wamebaki yatima hakuna wa kusimama nao, hivyo sometimes wanaona ni bora wakimbilie nchi za nje.
 
Sikia nikwambie Jiwe alivyo hivi kama ulikua mpinzani na una hela benki kwanza assets zako zote zinakua frozen, kama una mil 100 inageuka kuwa sifuri in one day. Unaandamwa vibaya mno, unasukiwa kesi za kutunga, soon utasikia wote magaidi watupwe jela. Na kuna watu wanashangilia.

Wanaofanikiwa kukimbia wanakimbia nchi kama huyu ila wanaondoka labda na cash, kama walikua smart nategemea walikaa na cash au vitu kama gold sio kukaa na hela bank.

Tanzania is now in the dark chini ya dictator moja. Wanaomuunga mkono hawajui tu kinachofata ni nini, mark my words mtakiona cha moto, huyu mzee lazima ataongeza miaka
 
Kuna mifano mingi tu viongozi wa upinzani wanaenda nje ya nchi zao, then wakati salama ukifika wao kurudi nyumbani huwa wanarudi, mfano Congo DR imetokea sana...
Mnajidanganya upinzani bado sana nchi hii, hadi hapo ccm itakapogawanyika ndiyo tutapata wapinzani makini, lakini hawa wanamziki, Djs na wanaharakati hawataiweza CCM.

Mliambiwa na Nape na Kinana kwamba ccm ijivue gamba mlidhani utani. CCM ya sasa ni mpya kuibomoa itawachukua miaka 50 ijayo,ccm ya leo imejivua gamba ni moja na ni wamoja.

Ukileta mgawanyiko haraka sana unatumbuliwa.Safari hii mtegemee kuona wabunge wa CCM na madiwani wakitumbuliwa.Magufuli alisema wakati wa kampeni msimchanganyie magunzi ana maana kwamba atatumbua kwa mara ya kwanza
 
Tofauti ya siasa za Tanzania bara na huko kwingine ni kuwa, Huko Zanzibar, Uganda, South Africa etc viongozi wa upinzani wana support kubwa ya watu hata pindi itakapohitajika kuingia barabarani hata kumwaga damu.

Tanzania bara huku uoga mwingi tena umezidi awamu hii, hakuna revolt yoyote, simply ile peoples power haipo tena, Viongozi wa upinzani wamebaki yatima hakuna wa kusimama nao, hivyo sometimes wanaona ni bora wakimbilie nchi za nje.
Kigoma waliandamana kushinikiza mwami atangazwe Lindi walisimama kuandamana kupinga mama kikwete.
Huko Mara watu walijitokeza.


Even Mwanza
 
Jiwe ndio anapenda wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.

Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.

Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.
Hawa pimbi walikuwa wanajifanya vidume kutukana tukana warejee sasa. Ndiyo maana tuliwaambia hawa vibaraka wanajua pa kukimbilia ila mtanzania wa kawaida wa ileje hata akienda kenya atafukuzwa ka mbwa. Lema ni mjanja mjanja, anajifanya kukimbia kesi ili aonewe huruma, hayo maigizo yataisha tu, na Tanzania itaendelea.
 
Msiba mkubwa wa Taifa nini? Afe tu jamaa taifa Lipate afueni!
Sivizuri kumuombea mtu kifo siajabu hujaomba chochote kwake akashindwa kukusaidia mnyonge mnyongeni haki yake mumpe jamani mzee huruma anayo sana mfano sisi wavuvi wakata yakalya tunaimani atatusaidia nakuturudishia mali zetu halali sio kusuguana na mkuu kumbuka anamadaraka makubwa akiamua utakuwa.

Muombeni tumuombe atasaidia mzee anahuruma sio kumuombea kifo haisadii mm ninachotaka sio kumzihaki mh rais wapuuze tu wewe nikiongozi unaongoza wehu . Wajinga . Wabishi. Wasomi .wasio soma.watu wote niwako hatamajumbani kwetu lawama zipo tuvumilie tu wewe nimkuu wanchi hakuna mwingine asiependa ahame chapakazi mkuu
 
Sikia nikwambie Jiwe alivyo kama ulikua mpinzani na una hela benki kwanza assets zako zote zinakua frozen, kama una mil 100 inageuka kua sifuri in one day. Unaandamwa vibaya mno, unasukiwa kesi za kutunga, soon utasikia wote magaidi watupwe jela. Na kuna watu wanashangilia. Wanaofanikiwa kukimbia wanakimbia nchi kama huyu ila wanaondoka labda na cash, kama walikua smart nategemea walikaa na cash au vitu kama gold sio kukaa na hela bank...
Dalili zote zinaonesha, naskia kuna mbunge mmoja ameshaandaa draft ya kumuongezea muda anataka kuiwasilisha bungeni hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom