Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutoleeni ujinga wenu hapa,Jiwe ndio anapenda wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.
Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.
Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.
Jussa yupo wapi wakati huu? Mwisho wa kusikia habari zake ni kuwa alikuwepo katika hospitali ya kijeshi zanzibar. Lini ameondoka Tanzania?Jussa naye sijui kama anarudi. Tunaenda kuwa na kitu hatari sana
Hebu jielimishe kwanza na kuwa mstaarabu. Unajua nini maana ya neno mkimbizi wa kisiasa?Tutoleeni ujinga wenu hapa,
Lema ana nini hadi awe mkimbizi wa kisiasa?
Lema akimbie mwenyewe baads ya kutolewa jasho hukoArusha. Anataka arufi kwa gia ya kutoka ukimbizini. Hiyo imedumda baada ya polisi wa Kenya kumtoa pingu.Jiwe ndio anapenda wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.
Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.
Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.
Tundu Lissu ni very coward., Mbowe naye sijuwi ataondola lini, ccm hichi ndicho walichokuwa wanakitaka watawale kwa muruwa.Kuna mifano mingi tu viongozi wa upinzani wanaenda nje ya nchi zao, then wakati salama ukifika wao kurudi nyumbani huwa wanarudi, mfano Congo DR imetokea sana...
Ungekuwa umewai shiriki siasa hasa za kipinzani Afrika usingeongea hivo...Lema yupo kwenye mateso yapi ?? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge??
Acheni utoto jamani.
KWA HIYO UNAMAANISHA BOBI WINE ALISHAPITIA MAGUMU ZAIDI YA LISU SIO?Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema?...
Kenya wapo kwenye wakati mgumu hili sakata limewakalia vibaya sababu wasipomrudisha wajiandae tik taka za jiwe kwenye diplomasiaKenya hawawezi kukiuka mikataba wale wanafuata katiba na mikataba ya kimataifa hawata dhubutu!
Ina sikitisha sana tulipo fika
Chadema ni kituo cha maigizo ni CHADEMA SANAA GROUPLema yupo kwenye mateso yapi ?? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge??
Acheni utoto jamani.
Hebu jielimishe kwanza na kuwa mstaarabu. Unajua nini maana ya neno mkimbizi wa kisiasa?
Ungekuwa umewai shiriki siasa hasa za kipinzani Afrika usingeongea hivo...
Kwani kinaendelea nini mkuu? Maana wengine hatujajua huyo Lema yupo kwenye hatari ipi ya kumfanya ahame nchi?Inahuzunisha na kukasirisha
siongezi nenoJiwe ndio anapenda wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.
Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.
Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.