Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

Sasa ni wazi kabisa kwamba tumekuwa a Police State anayepinga hilo aidha ni mpumbavu au ni ushabiki wa kijinga tu.
 
Jiwe ndio anapenda wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.

Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.

Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.
Tutoleeni ujinga wenu hapa,

Lema ana nini hadi awe mkimbizi wa kisiasa?
 
kadiri siku zinavyokwenda nazidi kuona upuuzi wa viongozi wa upinzani tz.

wameshtukiwa mipango yao michafu waliyokuwa nayo,wakijua mambo yanakwenda kuwatokea puani wanakimbia kama nzi wametawanywa kwenye mavi.
 
Jiwe ndio anapenda wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.

Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.

Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.
Lema akimbie mwenyewe baads ya kutolewa jasho hukoArusha. Anataka arufi kwa gia ya kutoka ukimbizini. Hiyo imedumda baada ya polisi wa Kenya kumtoa pingu.
Aache kuzingua.
 
Kuna mifano mingi tu viongozi wa upinzani wanaenda nje ya nchi zao, then wakati salama ukifika wao kurudi nyumbani huwa wanarudi, mfano Congo DR imetokea sana...
Tundu Lissu ni very coward., Mbowe naye sijuwi ataondola lini, ccm hichi ndicho walichokuwa wanakitaka watawale kwa muruwa.

Mi nafahamu mgombea urais ata nchi iwe na rais dikteta kias gani ukisha declare wanataka kukuuwa dunia ikajua huwa inatosha.

kwani juzi walishindwa nini kumpiga maalim seif? Maalim yupo salama na yupo free unguja na pemba.
 
Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema?...
KWA HIYO UNAMAANISHA BOBI WINE ALISHAPITIA MAGUMU ZAIDI YA LISU SIO?
 
Kenya hawawezi kukiuka mikataba wale wanafuata katiba na mikataba ya kimataifa hawata dhubutu!
Ina sikitisha sana tulipo fika
Kenya wapo kwenye wakati mgumu hili sakata limewakalia vibaya sababu wasipomrudisha wajiandae tik taka za jiwe kwenye diplomasia

na wakimrudisha watachafuka kimataifa [emoji41][emoji41]
 
Viongozi waogaaa wanakimbia vivuli vyao wenyewe ... si juzi tu alisema HATOI SHAVU LA KUSHOTO ...
 
Hebu jielimishe kwanza na kuwa mstaarabu. Unajua nini maana ya neno mkimbizi wa kisiasa?

tz hatuna wakimbizi wa kisiasa nyinyi sakamonis.

tuna rundo la wakora waliokosa viti vya ubunge,wanaotumia msamiati(mkimbizi)vibaya.
 
Sasa anakimbia na watoto wake anawaacha machalii wa R chuga wanakula mirungi si angeenda nao
 
Jiwe ndio anapenda wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.

Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.

Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.
siongezi neno
 
Kesho tutasikia Sugu amekamatwa Zambia maan alitishiwa maisha
 
Kwa upumbavu ulionao inalinganisha vitu visivyofanana.
 
Back
Top Bottom