Pre GE2025 Amos Makala: Kama tumeshinda uchaguzi serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea ushindi ni huohuo uchaguzi mkuu Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi mkuu Oktoba utakapofika"

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla

View attachment 3222103

Mlikuwa mnashindana na nani? Mashindano ya timu moja!
 
Huyu Amos Makalla atakuwa alizaliwa na usonji, kwasabb hata kuumba maneno na kuyatamka vizuri hawezi, achilia mbali kujenga hoja
 
Hizi kauli zimefika mwisho...matambo ya kijinga, eti ccm imeshinda kwa kishindo
 
PK jitanueee baba jitanueee
Sogeasogea kwengine

Ova
 
Kwa wale ambao hamuelewi, huu ni ujumbe kwa tume "huru" ya uchaguzi🐼
 
Sahihi kabisa

2% ni za ACT wazalendo Pemba
Why not wasijipe 100% kabisa? Mbili wanamuachia nani? Kosa kubwa hamna kama ccm duniani wasipoteze hata point moja ni kujichukulia tu, vyoombo vya moto wanavyo, dola yao, tume yao, watumishi wanalipwa na mama, 98% ni failure kwa ujumla
 
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi mkuu Oktoba utakapofika"

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla

View attachment 3222103
Kura za NDIYO au HAPANA

Mtu na kivuli
 
Kwanza nyie vizee hamwezi kimbia...musilazimishe vijana kuingia misutini.... Juwa upinzani umebadilisha jemidali.
 
Mlikuwa mnashindana na nani? Mashindano ya timu moja!
Kukubali kushiriki uchaguzi mkuu mwezi October bila mabadiliko ya katiba, ni Sawa na mbuzi kujipeleka kuchinjwa! Upinzani msijisumbue the deck is stacked against you!
 
Sahihi kabisa

2% ni za ACT wazalendo Pemba
Mmeshida au mlishinda njaa ndugu?Mnajilisha upepo halafu mnajisifu mmetosheka na hamna njaa,hii sii kama dalili ya ukichaa kunashida kubwa ndani mwenu ama chawa ama ukunguni vinginevyo ukiroboto pengine?
 
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi mkuu Oktoba utakapofika"

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla

View attachment 3222103
Hili guluguja nalo kumbe ni hamnazo,mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya rejea ya ule uhuni uliofanywa na mkwe wa Samia kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa kama kigezo cha uimara wa CCM, ni taahira tu anayeweza kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom