Pre GE2025 Amos Makala: Kama tumeshinda uchaguzi serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea ushindi ni huohuo uchaguzi mkuu Oktoba

Pre GE2025 Amos Makala: Kama tumeshinda uchaguzi serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea ushindi ni huohuo uchaguzi mkuu Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
"HAKUNA UMASIKINI MBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA"
JK NYERERE.
 
Unadhani atafanya nini. Akifanya matani atapata kura kama ya Odera. Kura 1
Yaani wanategemea Lissu peke yake na lile tumbo lake afanye nini? Halafu huyo huyo Lissu na anawategea hawa hayawani waingie barabarani 😂😂😂
 
Kukubali kushiriki uchaguzi mkuu mwezi October bila mabadiliko ya katiba, ni Sawa na mbuzi kujipeleka kuchinjwa! Upinzani msijisumbue the deck is stacked against you!
I wish wangekuwa wamoja, but they aren’t! CHADEMA akigomea match, CUF, NLD, etc. wanatia timu kama kawaida na kuhalalisha ushindi wa CCM. CHADEMA wanapaswa kuonesha leadership kwa kuwaunganisha wapinzani. Bila kufanya hivyo, CHADEMA wataendelea kutoa matamko yasiyokuwa na tija huku CCM ikiendelea kutesa!
 
Back
Top Bottom