The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi mkuu Oktoba utakapofika"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla
View attachment 3222103
Mlikuwa mnashindana na nani? Mashindano ya timu moja!"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi mkuu Oktoba utakapofika"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla
View attachment 3222103
Lisu atashughulika na hawa mashetaniNdio maana Lissu ni muhimu kuliko Mbowe kwa sasa.
Why not wasijipe 100% kabisa? Mbili wanamuachia nani? Kosa kubwa hamna kama ccm duniani wasipoteze hata point moja ni kujichukulia tu, vyoombo vya moto wanavyo, dola yao, tume yao, watumishi wanalipwa na mama, 98% ni failure kwa ujumlaSahihi kabisa
2% ni za ACT wazalendo Pemba
Kura za NDIYO au HAPANA"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi mkuu Oktoba utakapofika"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla
View attachment 3222103
Kwanza nyie vizee hamwezi kimbia...musilazimishe vijana kuingia misutini.... Juwa upinzani umebadilisha jemidali."Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi mkuu Oktoba utakapofika"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla
View attachment 3222103
Mkuu kweli umezidiwa akiri na mzee Wasira? au umezaliwa na gundi wakutochaguliwa?Sahihi kabisa
2% ni za ACT wazalendo Pemba
Kukubali kushiriki uchaguzi mkuu mwezi October bila mabadiliko ya katiba, ni Sawa na mbuzi kujipeleka kuchinjwa! Upinzani msijisumbue the deck is stacked against you!Mlikuwa mnashindana na nani? Mashindano ya timu moja!
Mmeshida au mlishinda njaa ndugu?Mnajilisha upepo halafu mnajisifu mmetosheka na hamna njaa,hii sii kama dalili ya ukichaa kunashida kubwa ndani mwenu ama chawa ama ukunguni vinginevyo ukiroboto pengine?Sahihi kabisa
2% ni za ACT wazalendo Pemba
Hili guluguja nalo kumbe ni hamnazo,mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya rejea ya ule uhuni uliofanywa na mkwe wa Samia kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa kama kigezo cha uimara wa CCM, ni taahira tu anayeweza kufanya hivyo."Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi mkuu Oktoba utakapofika"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla
View attachment 3222103