Pre GE2025 Amos Makalla adai CCM haijawahi kuiba kura. Amtaka Tundu Lissu kuacha kutisha Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais aliyepita wa Zanzibar mhe. Karume alijisemea ukweli namnukuu "CCM haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar" mwisho wa kumnukuu.

"Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania".​

 



Msijifiche nyuma ya pazia ya Maridhiano. Mtubu!

Mnaogopa yale mazingira mliyo yatengeneza kuleta Uasi Tanzania?
 
Dunia sikuhizi iko kiganjani
 
Tangu lini mwizi huwa anakiri hadharani kwamba yeye Ni mwizi bila kipigo cha maana au bila tishio la kuviringishiwa tairi Na dumu la petroli?
 
Mwenezi ana hoja, asikilizwe na ajibiwe kwa hoja
Mzee makalla kavurugwa CCM IPI ANAYOIZUNGUMZIA? Wazee hawa ndio wanapinga KATIBA MPYA kwa sababu wao na famila zao wananeemeka na UBOVU wa KATIBA ILIYOPO KATIBA ILIYOPO inawapa ulaji Huyu mzee ameboronga sehemu nyingi kikazi lakini KATIBA MBOVU INAMBEBA TU
 
Hoja kama hii inadhihirisha wazi kuwa ccm kuna viongozi wengi wanaotumia Masaburi kufikiria
 
Amosi 3:10 - Kwa maana hawajui kutenda haki, hao wawekao akiba ya jeuri.......
 
Huyu mzee siasa angepumzika alee wajuu siasa inatosha kwake
 
Mdomo wake tu unaonyesha ni mwizi sembuse matendo yake!!!
Aweke mezani matokeo ya uchaguzi wa 2015 na 2020
 
Hilo namuunga mkono CCM hawatoi matokeo wa kujumlisha kura!
 
makala huyu tunaye mfahamu kila akipewa mkoa masoko yana ungua.subiri 2025 kama mpo naye ccm kura za ubunge zote mnaunguza kwa huyu
 
Ukiona hivyo basi ujue APPROACH ya Lissu na CHADEMA kwa ujumla wameielewa! Nadhani kuna kitu kingine Makalla amesahau kukisema. Ni kuwa Lissu ni muongo hajawahi kupigwa risasi na ile gari yenye matundu ya risasi aliyorudishiwa na polisi siyo gari yake ni gari ya mtu mwingine asiyejulikana!
 
Huyo mlevi tunampuuza tu
 

Attachments

  • JamiiForums2025664867.jpeg
    33.3 KB · Views: 5
  • JamiiForums-979014263.jpeg
    63 KB · Views: 6
  • 5723085-f2958354fb3d5c7668951cd04505632.mp4
    16 MB
Mrema mwenyewe alikua hana hamu na ccm, waliiba hadi kura aliyojipigia mwenyewe.
 
Ni kweli haijaiba kura bali inapora. Kuiba na kupora ni tofauti. Mwizi anaiba bila asitake kuonekane ila jambazi anapora hadharani kama walivyofanya bila aibu uchaguzi wa mwaka 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…