Pre GE2025 Amos Makalla adai CCM haijawahi kuiba kura. Amtaka Tundu Lissu kuacha kutisha Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amos Makalla hajawahi kuwa na akili. Ana hasira na mikutano yao inavyododa tofauti na ile ya nyamitako
 
Humo hivi sasa wapo watakatifu wenye hofu ya Mungu,na pale atakapo tokea mwizi miongoni mwenu na mlaaniwe wote.
 
Namthibitshia bwana AMOS MAKALA kwamba kwenye Tawi la ccm mkwajuni kinondoni DAR ES SALAAM kura za uchaguzi mkuu mwaka 2020 zilipigwa siku 2 kabka na kwamba vijana waliahidiwa kulipwa 5000 na hawajalipwa mpaka leo. namthibitishia kwamba kitongoji kimnoja kilichopo kigoma niliwaona watu wakipiga kura usikiu mmoja kabla ya zoezi. namthibitishia bwana makala aende akaulizie kitongoji kimoja kilichopo pwani ya wilaya moja ya visiwani huko pwani
 

Makamu Mwenyekiti wake tayari kisha sema 2020 waliiba na hawataki yaliyotokea 2020 yatokee 2025.
 
Asemaye kwamba mwenye haki Hana haki na asiye na haki ana haki. Hao wote ni chukizo kwa Mungu.
 
Tanzania ndio inch ya ajabu ilio baki afrika peke yake viongozi wake wote
 
Makala yupi sahihi. CCM haijawahi kuiba kura.

Lissu anatengeneza mazingira kama yale ya Donald Trump wa Marekani.

Mwisho wake tutatoana ngeu.

Lissu aache uwongo. Akatamvike.
Mbona Nape kawaumbua kuwa huwa mnaiba kura. Rejea hotuba yake kwenye soko kule Kashai Bukoba.Mficha maradhi kifo humuumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…