Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
📌📌Kuna mtu kwenye kampeni 2020 aliropoka ifuatayo.
Hata mkipigia upinzani kura, CCM ndiyo itatangazwa mshindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌📌Kuna mtu kwenye kampeni 2020 aliropoka ifuatayo.
Hata mkipigia upinzani kura, CCM ndiyo itatangazwa mshindi.
Ili kuwa kiongozi wa ccm unapaswa kuwa muongo sanaDunia sikuhizi iko kiganjani
Siyo muongo tu bali kujitoa ufahamu, (nyumbu), a.. k. a kujizima data, yaani kuahirisha kufikiriIli kuwa kiongozi wa ccm unapaswa kuwa muongo sana
Ukishaona mtu anakuwa na mashavu modeli hii ujue hilo ni tutusa tuHili li-makala halijoelewi
Humo hivi sasa wapo watakatifu wenye hofu ya Mungu,na pale atakapo tokea mwizi miongoni mwenu na mlaaniwe wote.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi
Habari kamili hii hapa
---
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho hakijawahi kuwaza wala kufikiria kuiba kura wakati wa uchaguzi.
Makalla amemuonya Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu kuacha kuwatisha Watanzania kwa lugha za kichochezi.
Mwenezi huyo amesema hayo leo Jumanne, Juni 4, 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bomang'ombe, Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro.
Makalla yupo katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi ya kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi na kuangazia maandalizi ya uchaguzi ujao wa serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
Ukiwa kama Mtanzania unayeona Chaguzi za Nchi hii pamoja na ule 2015 na ile ofisi ya Masaki iliyokuwa chini ya Mzee Kinana, na ule wa 2020 ambao ulisimamiwa na Dkt Mahera na Dar es Salaam ikiwa na RPC aliyeitwa Lazaro Mambosasa, TOA MAONI YAKO
Namthibitshia bwana AMOS MAKALA kwamba kwenye Tawi la ccm mkwajuni kinondoni DAR ES SALAAM kura za uchaguzi mkuu mwaka 2020 zilipigwa siku 2 kabka na kwamba vijana waliahidiwa kulipwa 5000 na hawajalipwa mpaka leo. namthibitishia kwamba kitongoji kimnoja kilichopo kigoma niliwaona watu wakipiga kura usikiu mmoja kabla ya zoezi. namthibitishia bwana makala aende akaulizie kitongoji kimoja kilichopo pwani ya wilaya moja ya visiwani huko pwaniKatibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi
Habari kamili hii hapa
---
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho hakijawahi kuwaza wala kufikiria kuiba kura wakati wa uchaguzi.
Makalla amemuonya Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu kuacha kuwatisha Watanzania kwa lugha za kichochezi.
Mwenezi huyo amesema hayo leo Jumanne, Juni 4, 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bomang'ombe, Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro.
Makalla yupo katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi ya kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi na kuangazia maandalizi ya uchaguzi ujao wa serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
Ukiwa kama Mtanzania unayeona Chaguzi za Nchi hii pamoja na ule 2015 na ile ofisi ya Masaki iliyokuwa chini ya Mzee Kinana, na ule wa 2020 ambao ulisimamiwa na Dkt Mahera na Dar es Salaam ikiwa na RPC aliyeitwa Lazaro Mambosasa, TOA MAONI YAKO
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi
Habari kamili hii hapa
---
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho hakijawahi kuwaza wala kufikiria kuiba kura wakati wa uchaguzi.
Makalla amemuonya Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu kuacha kuwatisha Watanzania kwa lugha za kichochezi.
Mwenezi huyo amesema hayo leo Jumanne, Juni 4, 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bomang'ombe, Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro.
Makalla yupo katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi ya kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi na kuangazia maandalizi ya uchaguzi ujao wa serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
Ukiwa kama Mtanzania unayeona Chaguzi za Nchi hii pamoja na ule 2015 na ile ofisi ya Masaki iliyokuwa chini ya Mzee Kinana, na ule wa 2020 ambao ulisimamiwa na Dkt Mahera na Dar es Salaam ikiwa na RPC aliyeitwa Lazaro Mambosasa, TOA MAONI YAKO
Kinana na Makalla nani zaidi?Makamu Mwenyekiti wake tayari kisha sema 2020 waliiba na hawataki yaliyotokea 2020 yatokee 2025.
😂😂😂 hatareeeKura haziibwi bali zinabadilishwa 😀
Kwa mfano za Msigwa anapewa Sugu😂😂
Waambie ukweli Hawa machawa pro max!Kuna mtu kwenye kampeni 2020 aliropoka ifuatayo.
Hata mkipigia upinzani kura, CCM ndiyo itatangazwa mshindi.
Kupora ni nini?Ni kweli hawajawahi kuiba ila huwa wanapora
Mbona Nape kawaumbua kuwa huwa mnaiba kura. Rejea hotuba yake kwenye soko kule Kashai Bukoba.Mficha maradhi kifo humuumbua.Makala yupi sahihi. CCM haijawahi kuiba kura.
Lissu anatengeneza mazingira kama yale ya Donald Trump wa Marekani.
Mwisho wake tutatoana ngeu.
Lissu aache uwongo. Akatamvike.