Nape anasema inatokana na anayetangaza matokeo ambayo siyo ya kwenye sanduku. Anayetangaza si wa CCM au? Kama katangaza wa CCM wizi huo nani anakuwa kaiba kama siyo CCM? Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Makalla ongelea vitu vingine siyo wizi wa kura. Na Mungu wa Mbinguni ashughulikie moyo na mdomo wako na miguu yako unayosimama mbele ya watu na kuongeza uongo huku ukijua kuwa ni uongo. Mungu akushughulikie.