Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matokeo ya kauli hiyo chadema alipata mbuge mmoja wa dawa,NkasiKuna mtu kwenye kampeni 2020 aliropoka ifuatayo.
Hata mkipigia upinzani kura, CCM ndiyo itatangazwa mshindi.
NAPE mzee wa kura za Nusu halali na haramu vipi hapo. si wamekiri wenyewe, Lissu kosa lake lipi Makalla. Mungu anakuona.Hadhihakiwi."CCM haijawahi kuiba kura!!!"
Alilalamika Donald trump kuibiwa uchaguzi marekani asilalamike msigwa wa chadema,uchaguzi ni uchaguzi tu ,uwe wa raisi wa chuo,mpaka Rais wa nchiUchaguzi wa Chadema hauna hayo
Nape anasema inatokana na anayetangaza matokeo ambayo siyo ya kwenye sanduku. Anayetangaza si wa CCM au? Kama katangaza wa CCM wizi huo nani anakuwa kaiba kama siyo CCM? Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Makalla ongelea vitu vingine siyo wizi wa kura. Na Mungu wa Mbinguni ashughulikie moyo na mdomo wako na miguu yako unayosimama mbele ya watu na kuongeza uongo huku ukijua kuwa ni uongo. Mungu akushughulikie.Makamu Mwenyekiti wake tayari kisha sema 2020 waliiba na hawataki yaliyotokea 2020 yatokee 2025.