Pre GE2025 Amos Makalla adai CCM haijawahi kuiba kura. Amtaka Tundu Lissu kuacha kutisha Wananchi

Pre GE2025 Amos Makalla adai CCM haijawahi kuiba kura. Amtaka Tundu Lissu kuacha kutisha Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi wa Chadema hauna hayo
Alilalamika Donald trump kuibiwa uchaguzi marekani asilalamike msigwa wa chadema,uchaguzi ni uchaguzi tu ,uwe wa raisi wa chuo,mpaka Rais wa nchi
 
Hata mtoto mdogo anajua CCM ni vibaka wazoefu wa kura hivi kina siri hapo ndugu zangu.
 
Makamu Mwenyekiti wake tayari kisha sema 2020 waliiba na hawataki yaliyotokea 2020 yatokee 2025.
Nape anasema inatokana na anayetangaza matokeo ambayo siyo ya kwenye sanduku. Anayetangaza si wa CCM au? Kama katangaza wa CCM wizi huo nani anakuwa kaiba kama siyo CCM? Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Makalla ongelea vitu vingine siyo wizi wa kura. Na Mungu wa Mbinguni ashughulikie moyo na mdomo wako na miguu yako unayosimama mbele ya watu na kuongeza uongo huku ukijua kuwa ni uongo. Mungu akushughulikie.
 
Back
Top Bottom