Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #101
Sikusema watu wa Dar peke yao bali nimesema na watanzania kwa ujumla. Au wewe haujasoma heading. Hata hivyo Makalla ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na waliopelekwa wanatoka Dar ndomaana unaona nimeihusisha Dar zaidi kwenye thread nzima.Acha ushamba kwani watu wa Dar si watanzania na wana nini cha mno zaidi?
Twende kwenye hoja yangu ya msingi ni kuwa sio kweli kuwa wamekodiwa ndege kama mleta uzi alivyosemq.Waliokwenda ni 12 na ni kwa udhamini wa benki ya NMBHizo pia ni gharama kutokana na ukubwa wa bei ya ticket ya Go and Return. Fikiria kama wamekwenda watu 50 ni kiasi gani cha nauli kimetumika. Hapo bado chakula, hotel, malazi nk.
Hapo per diem,kulipia passport,.nk.hapo kwa lugha nyengine watalii hawezi Kuja Dar maana sisi ni wachafu.Nimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi.
Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na wanyarwanda. Hii si aibu ya mwaka huu mpya wa 2023? Je lile somo lililokuwa linatufunza usafi shuleni halifundishwi tena madarasani?
Ina maana watanzania tumekuwa watu wa kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu hata vile ambavyo tunaweza kuvifanya wenyewe tunashindwa kuvifanya kwa kusubiri kwanza tujifunze kupitia kwa wengine.
Katika hili Makalla amechemsha sana na kuleta aibu kubwa kwa wana Dar es salaam. Hii ni sawa na kumwambia jirani yako amfunze mkeo namna ya kuoga na wakati wewe mumewe unao uwezo huo na dhamana ya kumsimamia mkeo katika hilo.
Mambo ya aibu namna hii ndo yanayosababisha wengi tushindwe kurudi nyumban sasa hivi.
Kweli kabisa. Hii ni dharau na aibu kubwa dhidi ya nchi yetu. Ngoja tusubiri kuona mwisho wa wale waliyokwenda kujifunza. Je kuna kitu kitabadilika au ndio yale yale. Lets wait mkuu.Hapo per diem,kulipia passport,.nk.hapo kwa lugha nyengine watalii hawezi Kuja Dar maana sisi ni wachafu.
Wakati mwingine mambo ya nyumbani kwako si vizuri jirani akayajua
Kweli kabisa, huyu jamaa hakustahili kuwa mkuu wa mkoa makini kama wa Dar es salaam.Wanatamba kwavile mwanaume kaondoshwa!! Huyu enzi ya Jiwe si aliwekwa bench kwa kutokuwa makini!! Awamu hii anaonekana ndio sterling. Ajabu na kweli!
Mi nmuunga mkono RC Makala.Nimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi.
Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na wanyarwanda. Hii si aibu ya mwaka huu mpya wa 2023? Je lile somo lililokuwa linatufunza usafi shuleni halifundishwi tena madarasani?
Ina maana watanzania tumekuwa watu wa kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu hata vile ambavyo tunaweza kuvifanya wenyewe tunashindwa kuvifanya kwa kusubiri kwanza tujifunze kupitia kwa wengine.
Katika hili Makalla amechemsha sana na kuleta aibu kubwa kwa wana Dar es salaam. Hii ni sawa na kumwambia jirani yako amfunze mkeo namna ya kuoga na wakati wewe mumewe unao uwezo huo na dhamana ya kumsimamia mkeo katika hilo.
Mambo ya aibu namna hii ndo yanayosababisha wengi tushindwe kurudi nyumban sasa hivi.
Waswahili wanasema kuwa "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo", au "samaki mkunje angali mbichi" swala la usafi linatakiwa lianze kufunzwa katika ngazi za kifamilia, kijamii na baadae kitaifa. Kama hawa watu hawakuanza kufunzwa kuanzia chini usifikiri wakienda Rwanda ndio watabadilika.Mi nmuunga mkono RC Makala.
Majitu ya darisalama ni machfu mpaka unashangaa na kujiuliza maswali bila majibu.
Barabara mitaro yote imejaa vinyesi na matakataka ya kila aina.
Wachilia mbali huko mitaani ndio usiseme , katikati ya jiji marundo ya takataka na madampo bubu kila kona.
Mvua zikinyesha vyoo cilivyojaa kinyesi vinaachiliwa kutiriikia barabrani.
Kama ni usafi waswahili wakajifunze Kigali wala mi sioni shida maana kama huwezi kajifunze kwa wanaoweza.
Ndo hapo sasa tuliposhangaa. Inakuaje mtu mzima, tena kiongozi wa mkoa wenye wajanja wengi na wasomi kama Dar akimbilie Rwanda kufunzwa usafi! Hii si fedheha na aibu kwa taifa!!Watu wa Moshi hapo wanapiga usafi... Na mara zote mji wao unasifika Kwa usafi... Sasa inakuwaje RC kaamua kwenda kujichoresha huko Rwanda???
Si angewapeleka hapo Moshi tuu?
Wanyarwanda hawakuja Tanzania au kwenda Kenya kujifunza usafi, bali walikaa na kuamua kubadilisha mji wao kwa kuhamasishana, kuelimishana na kueleweshana.Hajakosea kujifunza mbinu siyo aibu , jamaa walikotoka palikuwa pa ajabu sana nikwenda Kigali 1997 Kigali ilikuwa kama zizi la ng'ombe lakini within 25 years inatolewa mfano na dunia nzima.
Mskala big up.
Sasa kama ujanja na usomi wako haukusaidii kujua namna ya kumanage uchafu na kuweka mazingira yako safi usomi huo na ujanja huo ni kama uganga wa kienyeji.Ndo hapo sasa tuliposhangaa. Inakuaje mtu mzima, tena kiongozi wa mkoa wenye wajanja wengi na wasomi kama Dar akimbilie Rwanda kufunzwa usafi! Hii si fedheha na aibu kwa taifa!!
🤣🤣🤣Katika hili mzee mzima katuchoresha. Arudi kutuomba msamaha watanzania.
Mkuu mbona Tanzania kuna maeneo mengi tu masafi ambayo mkuu wa mkoa angeweza kupeleka vijana wake huko wakajifunze usafi, bila kutumia gharama kubwa ya usafiri, chakula, malazi nk.Sasa kama ujanja na usomi wako haukusaidii kujua namna ya kumanage uchafu na kuweka mazingira yako safi usomi huo na ujanja huo ni kama uganga wa kienyeji.
Ndio maana Mwigulu kawambia wajomba zenu mliowatuma wakawawakilishe kuwa wanachoweza wao ni uganga tu.
wWakazi wa dar ni wachafu sana wala sio siri.
Mi ningemwelewa sana bwana RC angeomba na msaada wa askari wa kinyarwanda waje wawatie viboko ama makonzi ili akili ziwakae vizuri.
Kuna watu wameshangaa Samia alivyomtosa Mkuu wa mkoa wa Tanga na amemwacha Makalla, hadi sasa bado hawaaminiNimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi.
Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na wanyarwanda. Hii si aibu ya mwaka huu mpya wa 2023? Je lile somo lililokuwa linatufunza usafi shuleni halifundishwi tena madarasani?
Ina maana watanzania tumekuwa watu wa kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu hata vile ambavyo tunaweza kuvifanya wenyewe tunashindwa kuvifanya kwa kusubiri kwanza tujifunze kupitia kwa wengine.
Katika hili Makalla amechemsha sana na kuleta aibu kubwa kwa wana Dar es salaam. Hii ni sawa na kumwambia jirani yako amfunze mkeo namna ya kuoga na wakati wewe mumewe unao uwezo huo na dhamana ya kumsimamia mkeo katika hilo.
Mambo ya aibu namna hii ndo yanayosababisha wengi tushindwe kurudi nyumban sasa hivi.
Makalla ana bahati sana. Ila naamini muda sio mrefu atapigwa chini au kuhamishwa mkoa mungine.Kuna watu wameshangaa Samia alivyomtosa Mkuu wa mkoa wa Tanga na amemwacha Makalla, hadi sasa bado hawaamini
Nimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi.
Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na wanyarwanda. Hii si aibu ya mwaka huu mpya wa 2023? Je lile somo lililokuwa linatufunza usafi shuleni halifundishwi tena madarasani?
Ina maana watanzania tumekuwa watu wa kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu hata vile ambavyo tunaweza kuvifanya wenyewe tunashindwa kuvifanya kwa kusubiri kwanza tujifunze kupitia kwa wengine.
Katika hili Makalla amechemsha sana na kuleta aibu kubwa kwa wana Dar es salaam. Hii ni sawa na kumwambia jirani yako amfunze mkeo namna ya kuoga na wakati wewe mumewe unao uwezo huo na dhamana ya kumsimamia mkeo katika hilo.
Mambo ya aibu namna hii ndo yanayosababisha wengi tushindwe kurudi nyumban sasa hivi.
Rwanda ilifanikiwa katika hili kutokana na aina ya uongozi uliyopo nchini kwao.
Huyu mikeka ijayo kama hajatumbuliwa basi atahamishwa mkoa mungine.To be honest Dar haitaji mtu mshambba na lofa kama huyu. Mama amerudisha watu wa hovyo hovyo tu. Jamani hii ni nchi sio mambo yenu!