Amos Makalla ametudhalilisha na kututukanisha wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla

Kama ni hivyo hapakuwa sababu ya kwenda mbali kuchoma kodi zetu. Angewapeleka Moshi wakajifunze afu baada ya wiki warudi wakiwa vizuri kichwani.
Amosi Makalla ni kiongozi mbovu ameshindwa kulisimajia jiji kabisa
 
Yale ya Msingi kwenye kutekeleza usafi yamewashinda, ndio tayari wamejipa ziara!! Hawa wamachinga ndio wafanya usafi!? Jiji limerudi kuwa kama gulio yeye Hilo limemshinda kulipanga halafu wanajipa Safari kwenda Kwa Kagame
 
Yote hii ni conflict of interest, Sasa Hawa mameya na Matumbo Yao wanasimamia nini kama RC ndio anajipa ziara ya kuzurura!? Eti kukagua usafi Kigali, my country
 
Amosi Makalla ni kiongozi mbovu ameshindwa kulisimajia jiji kabisa
Niliwahi kushauri kwamba ni afadhali mkoa wa Dar es salaam angepewa mtu kama Godwin Gondwe (aliekuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni) ausimamie.

Ona sasa anavyotudhalilisha kwa wanyarwanda. Hii ni fedheha kubwa kwetu.
 
Hii ni awamu ya team Nsoga utapata ulaji ukiwa unatambuliwa na msoga tu
 
Ushawahi kuona wapi nchi moja inatuma raia wake nchi nyingine wakajifunze usafi. Ingekuwa ni swala la kwenda kujifunza mbinu za biashara, intelejensia nk hapo ningeelewa. Lakini swala la usafi kweli ni la kukodi ndege kwenda kuwafunza watu nje ya nchi? Yuko serious kweli!
Unajuaje kama hujaambiwa kiintelejinsia tu?!!! Vilivyomo sivyo wakati mwingine, we bwaruka tu huko Nainokwe uchekwe!
 
Yale ya Msingi kwenye kutekeleza usafi yamewashinda, ndio tayari wamejipa ziara!! Hawa wamachinga ndio wafanya usafi!? Jiji limerudi kuwa kama gulio yeye Hilo limemshinda kulipanga halafu wanajipa Safari kwenda Kwa Kagame
Tatizo ni kwamba wanaweza kwenda kujifunza na bado wataporudi wakashindwa kufanya yale waliofunzwa huku kodi zetu zikiwa zimeshapotea bure kabisa.
 
Unajuaje kama hujaambiwa kiintelejinsia tu?!!! Vilivyomo sivyo wakati mwingine, we bwaruka tu huko Nainokwe uchekwe!
Kama ni haya unayohisi basi na iwe hivyo. Lakini kama ni ku stick kwenye hii point ya thread basi amechemsha.
 
Niliwahi kushauri kwamba ni afadhali mkoa wa Dar es salaam angepewa mtu kama Godwin Gondwe (aliekuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni) ausimamie.
Ona sasa anavyotudhalilisha kwa wanyarwanda. Hii ni fedheha kubwa kwetu.
Huyu namjua sana, ni wale wale, Dar inataka mtu anayethamini taratibu na sheria zilizopo, Sio Hawa wapiga Domo!! Namaanisha, taratibu na sheria!!! Kuna mtu kama Heri James alikuwa anashindana na viongozi wake kuvunja sheria na taratibu ili TU tumbo lake lishibe
 
Back
Top Bottom