Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Mzee wa Mate😂😂😂Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya itikadi na uenezi ndani ya chama nakwenda kuwa RC Arusha,ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.
Ngoja tuupe muda nafasi yake.
Hii nafasi haihitaji mtu mtulivu. Siasa za maji taka unamaanisha ambae hawasemi wapinzani? Ambae atakuwa "ndiyo mzee"Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya itikadi na uenezi ndani ya chama nakwenda kuwa RC Arusha,ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.
Ngoja tuupe muda nafasi yake.
Paulo Makonda nafasi aliyekuwepo alimficha Katibu mkuu hata asijulikane. Makonda akipewa nafasi hata ya utendaji wa Kata ile Power of leadership itaiongoza Wilaya na Mkoa. Ila anafaa sana kuwa P au awe JPMFamilia zenye nchi katika ubora wao,yaani zinaifanya nchi hii playing ground yao,why kila teuzi ni ♻️ ile ile ,why migiro,asha arudishwe tena ?hivi nchi haina new,young guys ambao watakuja na new ideas?,ndejemis ni wale wale,hizi political deployment ni makosa kisheria,ngoja niongee na Mwanasheria wangu ili tuende kwa court,wanajeshi watulie jeshini,wakiiingia kwenye politics wajiuzuru uanajeshi,mikoa ya mipakani inahitaji services delivered na SIO wanajeshi,wanausalama wote warudi kambini au waachane na vyombo hivi kama wanapenda politics
Amevurunda Mwanza, anagoma kutii maagizo ya PMHeri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.
Ngoja tuupe muda nafasi yake.
Mbombo ipo kwa middle class kuwa na mawazo kama haya,why hatuna vijana wengine wenye mawazo tofauti?,makonda keshawahi kuwa RC wa DSM nini aliufanyia mkoa huo?,hivi why nchi Ina recycle watu wale wale?na surnames zile zile?,ngoja niingie kwenye vitindi vyangu vya ulanziPaulo Makonda nafasi aliyekuwepo alimficha Katibu mkuu hata asijulikane. Makonda akipewa nafasi hata ya utendaji wa Kata ile Power of leadership itaiongoza Wilaya na Mkoa. Ila anafaa sana kuwa P au awe JPM
Makalla na Nchimbi wanaendana na ni chaguo la MsogaHeri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.
Ngoja tuupe muda nafasi yake.
Makalla na Nchimbi wanaendana na ni chaguo la MsogHeri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.
Ngoja tuupe muda nafasi yake.
TutaonaHata mimi hisia zangu zinanituma kuamini hivyo.
Ohooo. Hapo sitoi neno mkuuMakalla na Nchimbi wanaendana na ni chaguo la Msog
Kuhusu mwenezi ndani ya chama lazima awekwe mtu ambae anaweza kukipigania na kukisemea chama. Watu wapya wanazo nafasi zao kama DAS,RAS,DED,DC nkMbombo ipo kwa middle class kuwa na mawazo kama haya,why hatuna vijana wengine wenye mawazo tofauti?,makonda keshawahi kuwa RC wa DSM nini aliufanyia mkoa huo?,hivi why nchi Ina recycle watu wale wale?na surnames zile zile?,ngoja niingie kwenye vitindi vyangu vya ulanzi