Amos Makalla anaweza kuchukua nafasi ya Makonda

Amos Makalla anaweza kuchukua nafasi ya Makonda

Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema

Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.

Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.

Ngoja tuupe muda nafasi yake.
Atasaidia Nini labda kujaza nafasi tu. Hawa watu wamefeli over 60 yrs wataweza Nini sasa
 
Ambaye alikuwa anaweza kuirudisha CCM kwenye mstari wa kuaminiwa na watu ni Makonda pekee, madamu wameona ana waharibia ulaji wao basi tena, wasubiri kuburuzwa kama kipindi Cha awamu ya 4. Makalla hana ushawishi wowote kisiasa na hana uwezo wa kutengeneza kura.
Makala wataboronga sana! Kwanza sauti yake imejaa mikwaruzo ya fangasi nk!
Samia ajiandae tu kisaikologia hakuna mtu wapinzani waimwogopa kama Makonda! Sema Makonda anaupinzani pia ndani ya CCM hasa team Msoga!
 
Anaaminiwa na akina nani? Mbona kama huwajui CCM.
Wale waliosema anafaa ndio wamesema hafai sasa wewe ninani kwani? Waelewe CCM wanaweza wakamuweka Kingwendu au Bi. Kiroboto na wakampamba hatakama hakuepo kwenye chama akatakatishwa
CCM hii kipindi cha JK walikuwa hawana uwezo hata wa kuvaa nguo za kijani JPM ndo kawapa nafasi ya kurudi kwenye jamii! Makonda licha ya makando kando yake ndo mtu pekee mwenye uwezo wa kuvuta watu hasa wa hali ya chini!
 
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema

Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.

Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.

Ngoja tuupe muda nafasi yake.
Yametimia
 
HATIMAYE AMOS MAKALLA AMEPEWA NAFASI YA UENEZI KAMA NILIVOKUA NA MAONO HAYO.
Makala wataboronga sana! Kwanza sauti yake imejaa mikwaruzo ya fangasi nk!
Samia ajiandae tu kisaikologia hakuna mtu wapinzani waimwogopa kama Makonda! Sema Makonda anaupinzani pia ndani ya CCM hasa team Msoga!
Sasa wapinzani wanamuogopa kwasababu gani?
Mbona sioni mantiki ya makonda kusema anaogopwa?
Elewa kwamba watu wababe niwatu dhaifu hawana ushawishi wa hoja. Wanatumia dola na mamlaka.

Watu wamemlalamikia kwa vitendo vyake wala sio kumuogopa
 
Back
Top Bottom