Amos Makalla anaweza kuchukua nafasi ya Makonda

Nafsi ina niambia makonda angefaa awe mwanza kwa wasukuma wenzie uko..sema system ina hofia ata tengenez empire kanda ya ziwa
Yule ndio anaondolewa kwenye mfumo taratibu. Hana staha mdomo wake umechongoka sana
 
Paulo Makonda nafasi aliyekuwepo alimficha Katibu mkuu hata asijulikane. Makonda akipewa nafasi hata ya utendaji wa Kata ile Power of leadership itaiongoza Wilaya na Mkoa. Ila anafaa sana kuwa P au awe JPM
Na ndio anaandaliwa kuwa pm 2025 November.
 
Kuhusu mwenezi ndani ya chama lazima awekwe mtu ambae anaweza kukipigania na kukisemea chama. Watu wapya wanazo nafasi zao kama DAS,RAS,DED,DC nk
No mkuu hizo ulizozitaja ni nafasi za kiserikali na sio za kichama,DC ni mtumishi wa wote regardless wenye chama au sio na ni makosa kwa chzma tawala kutumia nafasi hizi za kiserikali kama dumping area kwa makada wao,Nina mpango wa kufungua kesi ya kikatiba to test hii Cadre deployment,na say NO kwa upumbavu huu
 
Hiyo kesi ya kikatiba unaifungulia hapa nchini au nje ya nchi.
Hao majaji nao wanavyama vyao
 
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema

Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.

Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.

Ngoja tuupe muda nafasi yake.
Anaweza pia kuwa domokaya RC wa DSM
 
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema

Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.

Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za majitaka anaweza kushawishi watu.

Ngoja tuupe muda nafasi yake.
Hata Mimi naona kaandaliwa yeye
 
Ambaye alikuwa anaweza kuirudisha CCM kwenye mstari wa kuaminiwa na watu ni Makonda pekee, madamu wameona ana waharibia ulaji wao basi tena, wasubiri kuburuzwa kama kipindi Cha awamu ya 4. Makalla hana ushawishi wowote kisiasa na hana uwezo wa kutengeneza kura.
 
Anaaminiwa na akina nani? Mbona kama huwajui CCM.
Wale waliosema anafaa ndio wamesema hafai sasa wewe ninani kwani? Waelewe CCM wanaweza wakamuweka Kingwendu au Bi. Kiroboto na wakampamba hatakama hakuepo kwenye chama akatakatishwa
 
Ambaye alikuwa anaweza kuirudisha CCM kwenye mstari wa kuaminiwa na watu ni Makonda pekee, madamu wameona ana waharibia ulaji wao basi tena, wasubiri kuburuzwa kama kipindi Cha awamu ya 4. Makalla hana ushawishi wowote kisiasa na hana uwezo wa kutengeneza kura.
Huyo anaetengeneza kura ninani ulie muona?
Kura zinatengenezwa na kukamilisha mahitaji ya wananchi huduma za kijamii zikiwa sawa nani anahangaika kukupigia kelele?
Anatengeneza kura kwa propaganda au ubabe na vitisho? Au anaishawishi tume?
 
Back
Top Bottom