Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Mi Lamomy bana acha bhasi 😹😹Hahahahaha leo ndio nimeamini wewe ndie labella the mafia wa x🤣🤣🤣🤣 kaone
Mi Lamomy bana acha bhasi 😹😹Hahahahaha leo ndio nimeamini wewe ndie labella the mafia wa x🤣🤣🤣🤣 kaone
Nelly acha sifa ,jf ni kama sungura alie jificha kwenye shamba la maharage tu🤣🤣🤣Tutakuwepo😂💪💪
Bado malkia wa nyuki tu nae alisema yupo jf🤣🤣🤣Mi Lamomy bana acha bhasi 😹😹
Atakua mshangazi binti wa zamani 😹😹😹Bado malkia wa nyuki tu nae alisema yupo jf🤣🤣🤣
😂😂😂 Bwashee mimi ni muuza mbaazi tuu hapa Ilala Boma. Waje wanichukueNelly acha sifa ,jf ni kama sungura alie jificha kwenye shamba la maharage tu🤣🤣🤣
Kama sio Binti wa zamani basi ni Nusratt 😂😂😂Atakua mshangazi binti wa zamani 😹😹😹
Muda wote anawaza mikazo
Hatukuchukui ng'oo wewe tunajua unataka kujinyonga bwashee ila unashindwa pa kuanzia😂😂😂 Bwashee mimi ni muuza mbaazi tuu hapa Ilala Boma. Waje wanichukue
Dah malkia wa nyuki baada ya chudai kufungiwa alisikitika sana , zile handle hata mie nilikua naponea hapo ujue🤣🤣🤣Atakua mshangazi binti wa zamani 😹😹😹
Muda wote anawaza mikazo
😹😹😹Kama sio Binti wa zamani basi ni Nusratt 😂😂😂
Huyu jamaa kagoma kabisa kustaafu.kwa sasa remote kaamua kukaa nayo nyumbani.anabadilisha channel anayoitaka pasipo kuwasikiliza wtz zaidi ya milioni60 wanataka channel gani.Amosi makala ndio nani tena hapo daslamView attachment 3435838
Huyo ni mtu muhimu na wa maana, kwani ndio tutajua mwelekeo wa nchi kwa miaka 5 ijayo siyo nguchiro km Polepole asiye na impact zaidi ya kuwa burudani ya wenye stress kwa kipindi hiki.Wakuu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa.
Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM
Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
Azungumze na matako yakeWakuu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa.
Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM
Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
We ni raia wa nchi gani, umekosea hp siyo FB bwanamdogoAmosi makala ndio nani tena hapo daslamView attachment 3435838
CCM ndio Taifa we kengeWe Sema Atazungumza Na Wana-CCM,
Azungumze Na Taifa Yeye Kama Nani ?
Tuoneshe cha kwako, bila shaka km cha Polepole, irregular shapeKichwa mviringo ndio katumwa???
Ulitaka aingie naniHuyu jamaa kagoma kabisa kustaafu.kwa sasa remote kaamua kukaa nayo nyumbani.anabadilisha channel anayoitaka pasipo kuwasikiliza wtz zaidi ya milioni60 wanataka channel gani.