GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo ni mtu muhimu na wa maana, kwani ndio tutajua mwelekeo wa nchi kwa miaka 5 ijayo siyo nguchiro km Polepole asiye na impact zaidi ya kuwa burudani ya wenye stress kwa kipindi hiki.
Mwalimu Saigilomagema unachekesha!!
Mtu wa muhimu kwenu machawa "misukule".
 
Wakuu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa.

Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM

Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri

 
Back
Top Bottom