GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nelly acha sifa ,jf ni kama sungura alie jificha kwenye shamba la maharage tu🤣🤣🤣
😂😂😂 Bwashee mimi ni muuza mbaazi tuu hapa Ilala Boma. Waje wanichukue
 
Huyo ni mtu muhimu na wa maana, kwani ndio tutajua mwelekeo wa nchi kwa miaka 5 ijayo siyo nguchiro km Polepole asiye na impact zaidi ya kuwa burudani ya wenye stress kwa kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…