Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

Yuvisisiemu mmekubaliana na hili au mtapinga? Mana RC katembea na maneno yote ya yule kijana aliehojiwa Clouds lakini sijui mnatuonaje wananchi wa hii nchi?
 
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81]
 
Miongoni mwa Maoni na Mapendekezo ya Kamati hiyo Ni pamoja Ujenzi wa Soko jipya linaloendana na Hali ya Sasa na vizimba kutolewa kwa kipaombele kwa wazawa, Je kuna watu wa nje wanaofanya biashara hapo? au ndo tunaambiwa kwamba wameshakaribishwa?
 
"Miongoni mwa Maoni na Mapendekezo ya Kamati hiyo Ni pamoja Ujenzi wa Soko jipya linaloendana na Hali ya Sasa na vizimba kutolewa kwa kipaombele kwa wazawa, uwepo wa mfumo mzuri wa kuzuia Moto, Barabara za kuingia na kutoka, Ujenzi wa Majengo ya Muda mfupi, Kila mfanyabiashara kuwa na bima."

Hiki ndicho walichokuwa wanakitaka. Hao wafanyabiashara hawatarudi tena kwani ilikuwa trick ya kuwaondoa, halafu unasema umati umeshangilia? Hao wanarudije wakati mitaji hawana tena?


Hii nchi ina mambo mengi ya kushangaza.



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kufuatia soko la wamachinga la Karume kuunguzwa moto na "watu wasiojulikana" na serikali kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha moto huo, hatimaye mbivu na mbichi zimejulikana baada ya kamati kubaini mhalifu aliyefanya uharamia huo wa kuunguza mali za wateja na miundombinu yao ya biashara. Akitoa majibu mbele ya waandishi wa habari, mwenyeketi wa kamati iliyochunguza tukio hilo Engineer Justin Lukaza amemtaja hadharani mtu aliyehusika kusoma soko hilo kwa makusudi (arson). Bila kuwapotezea muda wala kufanya mambo kuwa mengi, hebu msikilize mwenye mubashara hapo chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

 
 

Attachments

  • twitter_20220120_101600.mp4
    77.2 KB
Mmmmmmmh!Hii ngumu kumeza!

Moto kusambaa kona zote za Soko Kutokana na mshumaa Mmoja? Msiwe wavivu wa kufikiri!! Kariakoo nako ni hao hao mateja? Mnapenda sana majibu ya rahisi rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…