Amos Makalla: Kwenye kero nilizozikuta wapo wanaume wanaonyanyaswa. Kuna wanawake wana fedha wanahitaji tu wanaume wa kuwaoa

Unajua hata wapo wanaume wengi wamepitishwa magumu na wanawake.
Lawama zipo pande zote tu
Wanapitishwa na wanawake walioumizwa kaka....we hujui kuumizwa kuwa ni nusu kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…