JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Makonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Baada ya kuzijibu kwa maneno tu ya kwente mkutano, utatuzi wake umefikia wapi hadi sasaMakonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
Unajua serikali inavyofanya kazi lakini?Makonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
huyu sasa nae afanye kazi kila akienda sehemu ni kumsimanga makonda ambaye sasa ni mkuu wa mkoa arusha na anawiki tu huko ila mkoa umechangamka vibaya sana sahivi habari nyingi kwa sasa zinatoka hapo arusha sababu ya makonda..!
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Hamsimangi anaongea ukweli. Kumbuka makonda akiwa msemaji yeye alikuwa RC anajua kilichokuwa kinaendelea kwenye ule ujinga wa makonda.huyu sasa nae afanye kazi kila akienda sehemu ni kumsimanga makonda ambaye sasa ni mkuu wa mkoa arusha na anawiki tu huko ila mkoa umechangamka vibaya sana sahivi habari nyingi kwa sasa zinatoka hapo arusha sababu ya makonda..!
huyu alikuwa mkuu wa mkoa mwanza ila mkoa ulipoa balaa!
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
sasa kama anajua kwanini kila sehemu akienda ni kuongea ya makonda kwanini asifanye kazi yake imtambulisheHamsimangi anaongea ukweli. Kumbuka makonda akiwa msemaji yeye alikuwa RC anajua kilichokuwa kinaendelea kwenye ule ujinga wa makonda.
Kamuulize Rais SamiaUnajua serikali inavyofanya kazi lakini?
Hembu taja kero 10 ambazo makonda alifanikiwa kuzitatua na sasa hazipo tena. Anza na ile ya kuahidi kutoa matrekta ili barabara za kawe zitengenezwe
Twende kazi
Aache Maneno maneno.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Tanzania kuna watto wangapi ambao hawaendi shule ? Kuna watu wangapi hawana bima na nyumba?Chama kinapitia magumu.
Mwenezi wa Chama naogopa kutatua kero.
Hajui Siasa huyu. Arudi ofisini.
Ni wazi Nchimbi havikuiva na Makonda kabisa.
Na huko kwenye ziara za Makonda hadi Samia kapiga simu na katatua kero zingine waziwazi kabisa ..pale Kigoma mtoto hadi Leo Yuko shule nzuri kabisa. Na mama yake anayo Bima na Nyumba.
Siasa zinawenyewe. Makala hawezi.
Kuna sehemu alimtaja MAKONDA? au kachelewa kurudi tu leo umemmis makonda wako? Tatizo la waliowengi nchini kwetu ni kutojua kuchambua ukweli na uongo. Siasa na uhalisia? Yaani serikali haijapeleka pesa sehemu anakuja mtu wa serikali hiyohiyo anailamu serikali? Howsasa kama anajua kwanini kila sehemu akienda ni kuongea ya makonda kwanini asifanye kazi yake imtambulishe
Kamuulize Rais Samia
Hawa watu wa dar na pwan, Uongozi haujawah kuwafaa, ni Maneno ila utendaji sifuri.Chama kinapitia magumu.
Mwenezi wa Chama naogopa kutatua kero.
Hajui Siasa huyu. Arudi ofisini.
Ni wazi Nchimbi havikuiva na Makonda kabisa.
Na huko kwenye ziara za Makonda hadi Samia kapiga simu na katatua kero zingine waziwazi kabisa ..pale Kigoma mtoto hadi Leo Yuko shule nzuri kabisa. Na mama yake anayo Bima na Nyumba.
Siasa zinawenyewe. Makala hawezi.
Nikamuulize kwani mmi siyaoni? Mm swishing marekani naishi kijijini Tanzania hapa. Sihitaji kuangalia taarifa ili nijue haya ni maigizo? Unaingia mkutanoni kwa baiskeli kisha ukiondoka v8 100 zinakufuata? Seriously? Kama siyo kuwacheka wqpanda baiskeli nnn bas?Kamuulize Rais Samia