Amos Makalla: Sisi tunatatua kero Kisayansi, hatupigi kelele

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
 
Makonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
 
Na hapo tayari kesha piga kelele?

Anajua maana ya kimya kimya?

Huyu ndo mwenezi ambaye hataleta changamoto yoyote ndani ja nje ya chama chake, Ni kipindi cha CCM kuwa fofofofo wakati wake huyu jamaa

Kwanza tayari binafs nilikuwa nishaanza kumsahau
 
Makonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
Baada ya kuzijibu kwa maneno tu ya kwente mkutano, utatuzi wake umefikia wapi hadi sasa
 
Makonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
Unajua serikali inavyofanya kazi lakini?
Hembu taja kero 10 ambazo makonda alifanikiwa kuzitatua na sasa hazipo tena. Anza na ile ya kuahidi kutoa matrekta ili barabara za kawe zitengenezwe
Twende kazi
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
huyu sasa nae afanye kazi kila akienda sehemu ni kumsimanga makonda ambaye sasa ni mkuu wa mkoa arusha na anawiki tu huko ila mkoa umechangamka vibaya sana sahivi habari nyingi kwa sasa zinatoka hapo arusha sababu ya makonda..!
huyu alikuwa mkuu wa mkoa mwanza ila mkoa ulipoa balaa!
 
Chama kinapitia magumu.

Mwenezi wa Chama naogopa kutatua kero.

Hajui Siasa huyu. Arudi ofisini.

Ni wazi Nchimbi havikuiva na Makonda kabisa.

Na huko kwenye ziara za Makonda hadi Samia kapiga simu na katatua kero zingine waziwazi kabisa ..pale Kigoma mtoto hadi Leo Yuko shule nzuri kabisa. Na mama yake anayo Bima na Nyumba.

Siasa zinawenyewe. Makala hawezi.
 
Hamsimangi anaongea ukweli. Kumbuka makonda akiwa msemaji yeye alikuwa RC anajua kilichokuwa kinaendelea kwenye ule ujinga wa makonda.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.

Kimya kimya hapo ndugu yangu Makala utakosa mvuto kabisaaa na Chama chetu mwitikio wa wananchi utapungua sana, tatua kero zao style ya Makonda, ukificha ficha mambo huko hakuna maana tena dunia ya leo na bahati mbaya mtangulizi wako aliweka mambo wazi kabisa, sasa wewe ukificha ficha utaonekana msanii na sio mtendaji kabisa kutatua kero za wananchi wetu kwa vigezo vyako, utapoteza kabisa wapiga kura na mvuto utapotea kabisa
 
Hamsimangi anaongea ukweli. Kumbuka makonda akiwa msemaji yeye alikuwa RC anajua kilichokuwa kinaendelea kwenye ule ujinga wa makonda.
sasa kama anajua kwanini kila sehemu akienda ni kuongea ya makonda kwanini asifanye kazi yake imtambulishe
 
Unajua serikali inavyofanya kazi lakini?
Hembu taja kero 10 ambazo makonda alifanikiwa kuzitatua na sasa hazipo tena. Anza na ile ya kuahidi kutoa matrekta ili barabara za kawe zitengenezwe
Twende kazi
Kamuulize Rais Samia
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Aache Maneno maneno.

Tuliona Makonda alitoa majibu papo papo, Raia wakafurahi ,shangwe zikapiga, Watumishi wazembe, Wala rushwa, majizi, mapolis walojaa dhulumaz Kwa Makonda wakaipatapata

Amos Makala, akubali, akubali akubali tu kua MAKONDA NI MTU NA NUSU .ALIBARIKIWA KARAMA YA UONGOZI.

Mbinu anayoitaja, ni usaniii nanupuuzi ambao ,ni sawa na yule alosema "Mimi sipendi kutengua Tenguaz watu wale Kwa kwamba Yao".
 
Chama kinapitia magumu.

Mwenezi wa Chama naogopa kutatua kero.

Hajui Siasa huyu. Arudi ofisini.

Ni wazi Nchimbi havikuiva na Makonda kabisa.

Na huko kwenye ziara za Makonda hadi Samia kapiga simu na katatua kero zingine waziwazi kabisa ..pale Kigoma mtoto hadi Leo Yuko shule nzuri kabisa. Na mama yake anayo Bima na Nyumba.

Siasa zinawenyewe. Makala hawezi.
Tanzania kuna watto wangapi ambao hawaendi shule ? Kuna watu wangapi hawana bima na nyumba?
Kumsaidia kama kweli mmoja huko kigoma ndiyo kujua siasa ? Tangu lini serikali ikashughulikia. Matatizo ya mtu mmoja mmoja
sasa kama anajua kwanini kila sehemu akienda ni kuongea ya makonda kwanini asifanye kazi yake imtambulishe
Kuna sehemu alimtaja MAKONDA? au kachelewa kurudi tu leo umemmis makonda wako? Tatizo la waliowengi nchini kwetu ni kutojua kuchambua ukweli na uongo. Siasa na uhalisia? Yaani serikali haijapeleka pesa sehemu anakuja mtu wa serikali hiyohiyo anailamu serikali? How
Haya mavunde alipigiwa simu akatatue migogoro ya ardhi geita imeisha?
Wazir slaa na gwajima walikuwa wanagawa hati pale bunju migogoro ya ardhi bunju imeisha?
Kama unakubali KUJINGISHWA NI WEWE KWA UJINGA WAKO LAKINI MAKONDA HAMNA KITU PALE
Kamuulize Rais Samia
 
Chama kinapitia magumu.

Mwenezi wa Chama naogopa kutatua kero.

Hajui Siasa huyu. Arudi ofisini.

Ni wazi Nchimbi havikuiva na Makonda kabisa.

Na huko kwenye ziara za Makonda hadi Samia kapiga simu na katatua kero zingine waziwazi kabisa ..pale Kigoma mtoto hadi Leo Yuko shule nzuri kabisa. Na mama yake anayo Bima na Nyumba.

Siasa zinawenyewe. Makala hawezi.
Hawa watu wa dar na pwan, Uongozi haujawah kuwafaa, ni Maneno ila utendaji sifuri.

Sasa anamponda Makonda ambaye aliamua kufanya kazi kwelikweli..

Hivi mtoto kama yule na mama yule, utaeaeleza nn wakuelewe kuhusu Makonda?.

Vipi kesi za Ardhi ambazo zilikua wazi, watu wamepata hati zao palepale, Utaeaeleza nn??.
 
Kamuulize Rais Samia
Nikamuulize kwani mmi siyaoni? Mm swishing marekani naishi kijijini Tanzania hapa. Sihitaji kuangalia taarifa ili nijue haya ni maigizo? Unaingia mkutanoni kwa baiskeli kisha ukiondoka v8 100 zinakufuata? Seriously? Kama siyo kuwacheka wqpanda baiskeli nnn bas?
 
Back
Top Bottom