Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Wakumtizama mkewe akiwa anajifanyia usafi au kumfanyia yeye mwenyewe 😀
Anafanya yeye mwenyewe yaani usimamizi ule ambao unahakikisha shamba limekuwa jeupee. Japo pamoja na haya yote ukweli unabaki pale pale hawa wenzetu wana kipaji cha kupretend
 
Hapana hiyo nakataa wengine ni akili zao, wanarogwa makwao tu wasijali wake zao.
Uchawi wa hivi huu sijawahi kusikia aise. Arogwe kwao ili asijali mke? Hapana. Mke ndio mlozi hapo kamtia Limbwata
 
Jamaa amehisi mke kaliwa msibani
 
Wanaawqakle wa kizazi chetu ni jeuri tu😄
Kumbuka walipotoka wanawake na wanaume wametokea hapo hapo, unazani wanaume wao wanajua kuishi na wake zao? Vijana wengi wanataka wahudumiwe kama wame ila wao kusimama kama wame hawataki, ila ndoa iliharibika anasingiziwa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…