Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Hata ningekua mimi ni lazima nistuke wanawake wakitanzania wengi kunyoa wakati wakukutana na mpezi mpya, mabaharia wengi humu ni mashahidi.
 
Sehemu za siri huwa ni zipi?
 
Kwani alifiwa na nani yake?
Alikaa muda gani msibani?

Uhusiano wake na marehemu na muda aliokaa msibani vinaweza kujua uhalali ya huyo mke kunyoa.

Ni jambo fikirishi sana:. Mtu uko msibani then unapata wazo la kunyoa vuzi na kulitekeleza huko huko msibani
 
picha tafadhali ya hizo sehenu za siri?

Ila nahisi huyo mme ni UTO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…