Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Anatakiwa afanyiwe nyumbani tena chini ya uangalizi
Hivi unazani wanaume wote wana akili hizo? Mwingine hajali chochote, mke hata afanye nini anakenua tu, mke anatoka mapema anaita bodaboda hata kusema ngoja nione anayemchukua ni nani yeye anakoroma kitandani, sasa huyo atajua shamba linasafishwa lini!
 
Aina hii ya mwanaume anakuwa amerogwa. Ndio hii mtu mke anaweza kwenda kazini au sokoni tu asbuhi anarudi jioni shamba limesafishwa na hajui aise😃😄
Ila tunapiga aise
 
Mwamba yuko thorough na mali zake
 
Aina hii ya mwanaume anakuwa amerogwa. Ndio hii mtu mke anaweza kwenda kazini au sokoni tu asbuhi anarudi jioni shamba limesafishwa na hajui aise😃😄
Ila tunapiga aise
Karogwa na nani sasa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…