TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Hapo hujasema alijiunga jeshi mwaka gani na kutaafu mwaka gani..
 
Kumbe mzee hakuwa mzee sana wala nn,, apumzike mahali pema asee
 
Kaka hiyo ngoma ukichelewa kuitibu hata uwende wapi hutoboi
Sababu hii Kila Mwanaume ana Tezi Dume ambayo kazi yake ni Kuzalidha Mbegu za Mwanaume,Sasa huwa likiwa kubwa ndo Tatizo,Na huwa linakatwa,
Kabla ya hapo linapimwa in terms of Cm na Volume/Length.
 
Tanzia msanii maarufu wa bongo movies Amri Athumani maarufu kama King majuto amefariki dunia hivi punde.

 
Innalillah wainna illah rajiun.... Tangulia mzee wangu sie tupo nyuma yako.
[emoji22][emoji22][emoji22]
 
R.I.P. huyu mzee atakumbukwa sana kwa kweli, ni mtu pekee katka maisha yang sijawah sikia mtu akimsema vbaya, yan hata mara moja. A legend with Zero haters. Kile kicheko chake tu mi nikikumbuka daaaa...... Watu wakufurahsha dunia wanaondoka tunaachiwa ma zinjatropus wanaojibatiza majina kila asubuh.
 
i
inna lillah wa inna illah rajihun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…