Tetesi: Amri imetoka juu. Wastaafu JWTZ wanaitwa kuongeza reinforcement

CIC?
 
Hao "wastaafu" ni mtaji mzuri sana kwa umma wa waTanzania wanaokataa uovu uliopo chini ya Samia; kwa sababu wamekwisha onja ugumu wa maisha unaowakabili waTanzania. Kwa hiyo hao siyo jeshi la kuwasurubu waTanzania wenzao; hata wakipewa mafao yao yote sasa hivi..
Wenye tatizo kwa wananchi wanaweza kuw hao a 'cruter'
 
Hizi taarifa/ habari chanzo chake ni nini?

Au hatupaswi kuhoji na tunapaswa kuziamini mazima tu kama zilivyo?

Na toka lini kuhoji uhakika na chanzo cha habari ikawa ni kosa?

Kuna watu mmejawa na hisia za upepo na gesi mpaka mmeshindwa kufikiri kwa kutumia akili.

Mimi hapa nikija kwa ID tofauti na kutunga stori kuwa nyumbani kwa mkuu wa majeshi kuna vifaru na magari ya deraya yameegeshwa nje, mtaanza kufurahia na kuwatukana wengine wote watakaohoji Ukweli wa taarifa hizo.

Hii nchi bado sana. Nyumbu ni wengi mno kuzidi walio na akili.

Mtu kutaka uhakika wa habari eti nalo ni kosa!! Only katika dunia ya nyumbu tu 🤣.
 
Uku dodoma cruser za nyota 1 hadi 2 zina pishana tu njia ni Mpwapwa to msalato -msalato to mpwapwa
 
ukiniuliza binafsi nakujibu jeshi liko imara raia wanajielewa chadema kama siasa zimewashinda ni wakati wao kupumzika sasa taifa lisonge mbele
 
Ukitaka habari zenye source jikite Reuters au AP,
JF ni mchanganyiko, vhanganya na zako

Ila ni fununu ya yaliyopo au yanayokuja
 
Ukitaka habari zenye source jikite Reuters au AP,
JF ni mchanganyiko, vhanganya na zako

Ila ni fununu ya yaliyopo au yanayokuja
Hakuna ubaya kuhoji chanzo cha habari la sivyo kumeza kila kitu kinacholetwa humu kuwa ndo ukweli wenyewe, ni kilele cha ujuha!

Sasa hivi hapa hata wewe ukija na stori ya. kutunga kuhusu hali iliyopo, kuna segment ya nyumbu itakuamini kwa 110% kwa sababu utakuwa umetunga tungo inayoleta faraja kwenye hisia zao.

Kuhoji chanzo cha habari si ujuha. Ni akili.

Au watu hamjali usahihi na ukweli wa habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…