Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Mafisadi watalia na kusaga menoWanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano
Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.
Amri
NB
- Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
- Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
- Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
- Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
- Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
- Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
- Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
- Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
Nawawekea kipande cha sauti, sikiliza hadi mwisho. (Inagoma kupanda lakini itakuwa hapa soon)
Stay HERE.
Be the first to know via JF
Amefanyaje?Commander-in-Chief (Amri Jeshi Mkuu) SSH.
Walinda mitihani ya std 4 na 7. 😂😂😂😂Noma,mgambo nawaonaga huko mashariki ya kati , hawa wengine wanywa gongo tu
Nyokooo wewe 🤬🤬. And vice versa is extremely trueeeKuna wakati hata polisi huwa wanavalishwa sare za jeshi (JWTZ).
Haya ni matokeo ya serikali kuona ni Ujanja wa Kuzuia Taarifa, now tutatumia kila njia kushindanaHizi taarifa/ habari chanzo chake ni nini?
Au hatupaswi kuhoji na tunapaswa kuziamini mazima tu kama zilivyo?
Na toka lini kuhoji uhakika na chanzo cha habari ikawa ni kosa?
Kuna watu mmejawa na hisia za upepo na gesi mpaka mmeshindwa kufikiri kwa kutumia akili.
Mimi hapa nikija kwa ID tofauti na kutunga stori kuwa nyumbani kwa mkuu wa majeshi kuna vifaru na magari ya deraya yameegeshwa nje, mtaanza kufurahia na kuwatukana wengine wote watakaohoji Ukweli wa taarifa hizo.
Hii nchi bado sana. Nyumbu ni wengi mno kuzidi walio na akili.
Mtu kutaka uhakika wa habari eti nalo ni kosa!! Only katika dunia ya nyumbu tu 🤣.
Kushindana kutunga uongo?Haya ni matokeo ya serikali kuona ni Ujanja wa Kuzuia Taarifa, now tutatumia kila njia kushindana
Bi ushungiCIC ni nani?
Nadhani alitaka kuandika CnC -commander in chief.CIC?
By way of deceptionKushindana kutunga uongo?
AmenYuko tia maji tia maji lolote laweza kutoea tuzidishe dua nchi ipone.
Watutolee tu Lissu kwanza, hizi sarakasi zao zaruzishia ghadhabu na hasira dhidi yaooo.. na hiyo tarehe 29 wajue ni humu tu, atucheki na nyaniWanabodi