Tetesi: Amri imetoka juu. Wastaafu JWTZ wanaitwa kuongeza reinforcement

Tatizo mnazani CCM wanatania, Waulizeni Zanzibar, Kama hamtakaza hakuna kitakacho badirika
 
Kawadanganye nyumbu wenzako huko.
 
Bunge la dharura kwa wabunge gani?
 
Uzushi
 
Wastaafu wao wanafurahia yanayoendelea nchini?

Wanafurahi tukitekwa, kupigwa na kupotezwa?

Na je wao wanafurahia wezi wachache kuliibia taifa?

Halafu wanaitwa ku re-enforce nini sasa na wamesha jichokea?
 
Huu uzi ni wa ma "Platnum Members" tu..

Wengine tutulize kende na vinembe😎
 
Samia akiachiwa miaka mingine mitano, naona giza kubwa sana mbele. Sijui Tanzania yangu itakuwa kwenye hali gani, maana nchi imekuwa ni mradi binafsi wa kikundi cha watu bila kujali hali za watu wengine.
JWTZ msiwasaliti watanzania walio wengi kwenye kipindi hiki kigumu, uyu mama ni evil, she is killing and stealing from us mercilessly.
 
Vyanzo vya news:
Government of TZ, 80% ni fake news, from CCM

Waandishi wa habari
99% controlled by CCM machinery, fake news

At least: you may get 50% real news from JF, matukio mengi sana ya ukweli yanatoka hapa kuliko kwa media

Twitter, Facebook, TikTok, Insta etc etc wapo real 25%

Conclusion- Changanya na zako
 
Mimi nitakua front hata wengine wasipojitokeza nitaandamana pekeyangu wakinipiga risasi najua wale jamaa watakua wamepata pa kuanzia
 
Nakuona inakuuma sana yaan unatamani mpaka kulia huku unatamani kugalagala chini ila wapi watu washaamua jambo lao, mstaafu ambae hajagoma ni Mzee Butiku tu source yake ya taarifa najua unaijua
 
Kama siku hz vibaka wanajua kinachoendelea kwenye vikao vya juu vya jwtz, basi we are not safe.
Hv mnadhani hao ni HAMASA WA baa ya vichaa?
 
Nakuona inakuuma sana yaan unatamani mpaka kulia huku unatamani kugalagala chini ila wapi watu washaamua jambo lao, mstaafu ambae hajagoma ni Mzee Butiku tu source yake ya taarifa najua unaijua
Nimemsikia mzee Butiku Youtube kwenye yale mazungumzo, kwa kweli nimeshangaa alivyoongea, au sijui kunauchakachuzi kwenye ile video?
 
Kama siku hz vibaka wanajua kinachoendelea kwenye vikao vya juu vya jwtz, basi we are not safe.
Hv mnadhani hao ni HAMASA WA baa ya vichaa?
Wasengesenge km nyinyi hua nawaweka kwenye ignore list mazafaka mnasema video ya Captain CJ Tesha ni AI qumamamaezenu kaa ignore huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…