Tetesi: Amri imetoka juu. Wastaafu JWTZ wanaitwa kuongeza reinforcement

Kunataarifa kweli kuwa yupo chini ya uangalizi wa madaktari , wengi wanaombea na iwe hivyo tuanze upya .

Naogopa kusema na iwe hivyo ,wengine wanasema deep state wameusoma mchezo wanataka kumtanguluza ili kufuta ushahidi.
 
Kunataarifa kweli kuwa yupo chini ya uangalizi wa madaktari , wengi wanaombea na iwe hivyo tuanze upya .

Naogopa kusema na iwe hivyo ,wengine wanasema deep state wameusoma mchezo wanataka kumtanguluza ili kufuta ushahidi.
Nakuamini, tumetoka mbali na wewe
 
Wasengesenge km nyinyi hua nawaweka kwenye ignore list mazafaka mnasema video ya Captain CJ Tesha ni AI qumamamaezenu kaa ignore huko
Hayo matusi hayatuksaidia chochote, na bado hujachanganyikiwa, yaani baado..
Hv mtu kama wewe kuniweka ignore list napata hasara gani?
Vibaka tu nyie wa kupika taarifa, hamna kitu
 
Kwa hapa tulipofikia, lolote linaloleta faraja kwenye mioyo yetu, linafaa tu mkuu.
 
UONGO WA WAZI ILA mafunzo ya QRF yapo tokaa mda na ni lazima
Kila kikosi kiwe na watu wa QRF ila ni vile mapuuza tu

Kuhusu wanajeshi walio staafu ni uongo bhna hakuna walio itwa vikosini hivi mna toleaga wapi hizo taarifa mnalishana matango pori vijiwe vya boda boda
 
Uongo
 
Wachukue na waliopitia jkt huko mtaani wako kibao chukua mfano ule mtiti pale ilala boma kipindi aliewahi kuwa mkuu wa mkoa dsm makonda alipowaita mji ulizizima hao vijana
 
Total failure, binadamu inabidi tuwe na chembe ya aibu kidogo , na kuishinda tamaa, kifo huwa hakina siku Wala saa, kinatokea ghafla tu
 
Chai
 
Mashuka yameisha? Nataka ninunue mashuka yote alafu nikununue kabisa na wewe unisaidie kuyapasha moto mashuka.

Nakutania tajiri mashuka. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania nchi ya ajabu sana, hivi wewe bado unaamini kabisa kitu Tesha? hujiulizi tu akili ya kawaida kabisa kuna mwanajeshi akatoka kutishia uasi au kupindua serikali na asishikwe? kawaida mapinzui yanakuwa siri ikigundulika ujue wote kifo. Hakuna duniani mtu akatangaza nia ya mapinduzi hakuna. Tesha ni mtego bahati mbaya watu wameingia mkenge ndio umeona baada ya kutokea hadharani yakafuata mengi sana... tujiongeze kidogo sio kudandia, hatupendi kutafakari mambo .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…