Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Eti watu wote timamuWatu wote wenye akili timamu wanajua hakukua na sababu ya ku ghairisha mchezo zaidi ya kuinusuru Moja ya timu na kipigo kizito.
Tff/ Bodi walikuja na sababu za usalama na Rushwa, Jana imefahamika wazi Kuna kigogo alipiga Simu ili Simba wasifanye mazoezi
Ripoti ya uchunguzi ipo, Tff/Bodi wanaizuia kwakua jina la kigogo litaweka wazi.
Inamaana Malumbano yote aya yanaendelea ili Kigogo asi anikwe hadharani.
Tff/Bodi hawakuwai kuomba radhi kwa hasara na vifo vilivyo tokea march 8.
Mpaka Leo hawataki kuelezea umma Ripoti wanayo ikalia.
Hii ni zaidi ya Kiburi na dharau kwenye taasisi ya umma.
Ni zaidi ya mambo ya kiswahili.
KAMA JAMBO LINAHUSU WEWE NA MKEO AU MUMEO KWELI SIO LAZMA MTU AONE SABABU YA NYINYI KUACHANA ILA SIO KWENYE HILI LA TAREHE 8,HILI NI JAMBO LINALOHUSU UMMA MZEEAmri Kiemba sio lazima hadi yeye aone na kuielewa sababu ndio ionekane ni sababu.
Kwani umma ni lazima Amri Kiemba aelewe?KAMA JAMBO LINAHUSU WEWE NA MKEO AU MUMEO KWELI SIO LAZMA MTU AONE SABABU YA NYINYI KUACHANA ILA SIO KWENYE HILI LA TAREHE 8,HILI NI JAMBO LINALOHUSU UMMA MZEE
watu waelewe wasielewe weka vitu kwenye utaratibu ili kuepusha haya yanayoendelea,kwani wachache tu wanaoelewa wanaweza kulifanya jambo kuwa gumu kama ilivyo sasa,ni hao watu wachache tu wakiamua mambo yanakuwa magumu kama ilivyo sasaKwani umma ni lazima Amri Kiemba aelewe?
Ikiwa ripoti ya CAG kuhusu matumizi holela ya fedha inatolewa kwa UMMA lakini wa Adzabe wameshindwa kuielewa je hiyo itafanya ripoti hiyo ionekane ya uongo kwasababu kuna wa Adzabe hawajaelewa?
Moja ya utaratibu ni timu pinzani kufanya mazoezi.watu waelewe wasielewe weka vitu kwenye utaratibu ili kuepusha haya yanayoendelea,kwani wachache tu wanaoelewa wanaweza kulifanya jambo kuwa gumu kama ilivyo sasa,ni hao watu wachache tu wakiamua mambo yanakuwa magumu kama ilivyo sasa
Amri kiemba ni professional kaongea ukweli najua ulitegemea awaponde Yanga ndo maana mimi naamini wachambuzi wa mpira wawe wamecheza mpira sababu wanajua uhalisia wa mpira wa watanzaniaAmri Kiemba sio lazima hadi yeye aone na kuielewa sababu ndio ionekane ni sababu.
ila utaratibu hauruhusu kugomea au kuaghirisha mechi kisa hujafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi...naweza kubeti na wewe hata milioni kwa jiwe kwamba kamwe hautakuja kusikikia bodi ya ligi wanakuja na sababu ya namna hiyo kwenye swala la kuaghirisha mechiMoja ya utaratibu ni timu pinzani kufanya mazoezi.
Huo utaratibu mliufuata?
Huwezi kuielewa sababu imenufaisha upande wako,so kwa wengine ni sababu tena ya Msingi.Amri Kiemba sio lazima hadi yeye aone na kuielewa sababu ndio ionekane ni sababu.
Pamba vs simba siku moja kabla ya mechi simba walifanyiwa vurugu kabla ya mechi na mkuu wa mkoa wa mwanza kuna baadhi ya viongozi wa Simba waliwekwa ndani na mkuu wa mkoa ilikuwa chaosila utaratibu hauruhusu kugomea au kuaghirisha mechi kisa hujafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi...naweza kubeti na wewe hata milioni kwa jiwe kwamba kamwe hautakuja kusikikia bodi ya ligi wanakuja na sababu ya namna hiyo kwenye swala la kuaghirisha mechi
Kucheza mpira sio tiketi ya kujua sheria.Amri kiemba ni professional kaongea ukweli najua ulitegemea awaponde Yanga ndo maana mimi naamini wachambuzi wa mpira wawe wamecheza mpira sababu wanajua uhalisia wa mpira wa watanzania
Lilikuwa ni kosa kuhairisha mechi tarehe 8 sababu hakukua na sababu za msingi
Umeanza kuleta siasa uzi unahusu kuhairisha mechi wewe unarukia kwenye mambo ya mshindi wa CRDB jikite kwenye uziKucheza mpira sio tiketi ya kujua sheria.
Kuishi karibu na mahakama sio kujua sheria
Wewe kabla ya leo uliweza kuamini kuwa kuna CEO wa timu kubwa hajui kiasi cha pesa anachopata mshindi wa CRDB?
Ila hiyo sio sababu iliyotajwa ya mechi kuahirishwa.ila utaratibu hauruhusu kugomea au kuaghirisha mechi kisa hujafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi...naweza kubeti na wewe hata milioni kwa jiwe kwamba kamwe hautakuja kusikikia bodi ya ligi wanakuja na sababu ya namna hiyo kwenye swala la kuaghirisha mechi
Hayo mambo yasio onekana peleka kwa manabii na wagangaAmri Kiemba sio lazima hadi yeye aone na kuielewa sababu ndio ionekane ni sababu.