VIongozi wako wa Yanga waliwahi kukuonesha mkataba wa Kagoma. Leo wote tunajua Kagoma yupo Simba.
Viongozi wako wa Yanga waliwahi kukuambia wakienda CAS watapewa point 3. Wamerudi vichwa chini na shauri limefutiliwa mbali.
Viongozi wako wa Yanga wamekuaminisha kuwa CRDB wanalipa milion 200 kwa mshindi wa shirikisho. Well ipo video inayoonesha mchanganuo wa hizo pesa ambapo mshindi anachukua milion 50.
Lakink mimi niliyekuambia sababu ya mechi kuahirishwa iliyotajwa na bodi ya ligi sio Simba kutofanya mazoezi ni viashiria vya rushwa na uvunjifu wa amani. Na sababu hii sio maoni yangu ni nukuu kutoka kwenye press release ya TFF
Lakini mimi ndio nimeitwa mtoto nafanya mambo ya kitoto.
Hao Yanga waliofanya hayo yote ambayo mtu rational angepewa afanye comparison na kauli yangu angeweza kusema Yanga ndio wanafanya utoto. Lakini wewe kwasababu una mapenzi na timu yako unaniona mimi ndio mtoto.
Unapenda vibaya