Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

Nioneshe hizo comments nilizoandika hivyo

Nataka nipime level yako ya kujua kusoma.
Au kuna mtoto alichezea simu yako, Kiemba anazungumzia swala la April nane, wewe umempinga mimi nime msupport ukaja na hoja hii.
Screenshot_20250611_215056_Chrome.jpg

Au huyu sio wewe. Ndio utuonyeshe basi hizo sehemu ulizo nukuu za kumpinga Kiemba kutupa sababu za msingi ambazo zipo kikanuni zilizo sababishwa kuhailishwa kwa mechi.

Huyo kama sio wewe sema,inawezakana kuna mtu mwengine anatumia ID yako.
 
Au kuna mtoto alichezea simu yako, Kiemba anazungumzia swala la April nane, wewe umempinga mimi nime msupport ukaja na hoja hii.
View attachment 3364978

Huyo ni mshamba hajui hata anachoandika😂
 
Kikanuni Simba alitakiwa acheze mechi, halafu malalamiko ya kuzuiwa kufanya mazoezi yashughulikiwe kulingana na kanuni zilizopo...

Nchi hii ina wajinga wengi sana
 
Kumbe mnashadadia vitu msivyovijua,nenda katafute video au audio ya Mkurugenzi wa CRDB ndugu Nsekela wakati wanatoa hizo 255ml matumizi yake yalikuwa ni yapi.
Kusikia na kuelewa ni vitu viwili tofauti.

Walisema wanatoa 255M kwa ajili ya Bingwa au kwa ajili ya uendeshaji wa ligi kiujumla?

Sikiliza hapa

Kama hiyo haitotosha msikilize raisi wa TFF akitoa mchanganuo wa hizo pesa

Halafu rudi kwenye swali langu tena Ubingwa wa mwaka gani wa kombe la shirikisho ambalo prize yake ni milioni 200 kwa bingwa?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Au kuna mtoto alichezea simu yako, Kiemba anazungumzia swala la April nane, wewe umempinga mimi nime msupport ukaja na hoja hii.
View attachment 3364978
Au huyu sio wewe. Ndio utuonyeshe basi hizo sehemu ulizo nukuu za kumpinga Kiemba kutupa sababu za msingi ambazo zipo kikanuni zilizo sababishwa kuhailishwa kwa mechi.

Huyo kama sio wewe sema,inawezakana kuna mtu mwengine anatumia ID yako.
Nahisi una tatizo la kuelewa.
Screenshot_20250611-220832.png

Nahitaji unioneshe hiki ulichokiandika ni wapi mimi nimetoa maneno hayo kusema kuna nukuu nimeitoa somewhere ikisema timu isipofanya mazoezi igomee mechi?

Naomba unipe hiyo screenshot inayoonesha mimi nimetamka hayo maneno kuwa "timu isipofanya mazoezi igomee mechi"
 
Wewe si umetupa utofauti kati yetu na wewe,wewe unatoa nukuu, ndio maanani nimekuuliza kwa hiki unacho mpinga Kiemba nukuu umetoa wapi?

"Mimi sijadili maoni.

Mimi natoa nukuu

Hapo ndio utofauti wa mimi na nyie. Ni utofauti kati ya mbao na kuni.
"
Au haya sio maelezo yako.

Maana unataka kujifanya watofauti halafu hujui nukuu unatoa wapi au unakuu nini au unavyo viandika hata wewe mwenyewe huvielewi?
 
Wewe si umetupa utofauti kati yetu na wewe,wewe unatoa nukuu, ndio maanani nimekuuliza kwa hiki unacho mpinga Kiemba nukuu umetoa wapi?

Maana unataka kujifanya watofauti halafu hujui nukuu unatoa wapi au unakuu nini au unavyo viandika hata wewe mwenyewe huvielewi?
Kusema nukuu natoa wapi mi tofauti na kusema "Nukuu ya timu kama isipofanya mazoezi,inatakiwa kugomea mechi umeitoa wapi na kwenye kanuni gani?"

Unaelewa maneno haya hayaoneshi kama unauliza ni wapi nimeweka nukuu kuhusiana na mada iliyopo mezani?

Unaelewa maneno haya yanakuwa yanakuwa yanajibu kwa swali hoja ambayo nimeijenga?

Sasa mimi nataka unioneshe ni wapi ambapo niliweka hiyo assertion ili tuone ni kwa kiasi gani hakuna njama za kupakaziana maneno ambayo mtu hajayaongea.
 
Kwani kiemba si anasema haoni sababu ya kuhairisha mechi,kwani mechi ilihairishwa baada ya nini kutokea? Si baada ya kugoma,kama mnsingegoma maana yake hata huu mjadala husinge kuwepo na Kiemba hasinge andika hiki. Au kuna sababu nyingine ya kugomea mechi.

Wewe umempinga kiembe na kujisifu unajua kunukuu, ukaja na hoja yako ya kujifanya bingwa wa kupinga tena kwa kunukuu, ila mpaka sasa unauza chai,hatuoni hizo nukuu zinazo tutofautisha na wewe.

Unaonekana hata unacho kipinga hukijui hata source yake huijui,unapinga ili uonekane unapinga,ila huna unacho kijua.
 
Mkuu unabishana bure na hao wavimba macho. Wabishane na Bodi.Bodi ndio iliahirisha mechi baada ya barua ya Simba.Na pointi hiyo ndio ilifanya waangukie pua CAS.
 
Pamba vs simba siku moja kabla ya mechi simba walifanyiwa vurugu kabla ya mechi na mkuu wa mkoa wa mwanza kuna baadhi ya viongozi wa Simba waliwekwa ndani na mkuu wa mkoa ilikuwa chaos

Ila cha ajabu ile mechi simba hawakugomea walicheza despite ya kufanyiwa zengwe na vurugu swali kwanini ugomee mechi ya Yanga ambayo hakuna ushahidi wa vurugu ila uliyofanyiwa vurugu ulicheza
Mh. Rais mpaka sasa kura yangu umeshapata
 
Huu ndio ukweli sema basi tu ila bodi na tff wana nguvu sana dhidi ya yanga ila hawakuwa na nguvu dhdi ya Simba Ile trh 8

Simba ni mtoto pendwa wa tff na bidi ya ligi ndo maana wakamtoa kwenye hii kesi kwa kughailisha mechi ili asiwe na kesi ya kujibu
 
Unajua haya mambo ukiyatazama kwa jicho la sheria ni msaafu hivyo ifuatwe kama ilivyoagizwa unaweza kuwaona TFF wanakosea.

Lakini tukianza kuchambua baadhi ya favors ambazo hizi Clubs zimekuwa zikifaidika na TFF ndio utajua no body respect law.

Ishu ya Kambole unaikumbuka? Yanga walikuwa na wachezaji 13 wa kigeni idadi ambayo ndio ukomo.

Lakini wakati dirisha dogo linakaribia kufungwa walikuwa na mpango wa kumsajili Tuisila Kisinda.

Yanga wakawa na mpango wa kumtoa kwa mkopo Kambole ili wamsajili Kisinda. Mchakato huo haukufanikiwa kwa wakati na hivyo wakatoa statement ya uongo kuwa wamempeleka kwa mkopo timu ya Uganda.

TFF ilifahamu kila kitu na kuamua kuwalinda ili tu wafanikishe adhma yao.

Kambole akawa anashinda kwenye kambi yao kule Avic Town na hata humu kuna uzi ukiwahi kuketwa kujadili uongo huo.

Kambole alikuja kuonekana tena kwenye mashindano ya Zanzibar akiwa kama mchezaji wa Yanga.

Huko kote ni busara tu zilitumika.

Na kabla ya huu msimu kuanza pia Yanga ilikuwa haijakamilisha usajili wa wachezaji wa timu ya vijana na hivyo kwa sheria ya TFF hawakupaswa kushiriki ligi kuu.

Lakini busara ikatumika na Yanga leo hii ndio anaongoza ligi.

Kwa hiyo hicho unachokisema ni busara na hakipaswi kutumika. Ukasema utumie kanuni sikufichi hakuna timu itayoweza ku survive.

Kuna mambo mengi mengine yapo nyuma ya pazia TFF inazikingia kifua hizi timu kwenye maswala mengi mno.
Kwahiyo kwa upande wako kosa la Yanga ni kutorudisha fadhila??

Wao wanafanyiwa favour ila ikija zamu yao wanasigina??

Basi kwa hili ni muda sasa wa bodi ya ligi kuanza kutumia kanuni ipasavyo na sio busara.

Hizo busara zao zinafanya wanatikiswa daily.
 
Simba ni mtoto pendwa wa tff na bidi ya ligi ndo maana wakamtoa kwenye hii kesi kwa kughailisha mechi ili asiwe na kesi ya kujibu
Wote ni watoto pendwa ila kila mmoja na muda wake.

Wote ni wanufaika wa busara, mashabiki wengi ndio mazuzu hata kwenye huu uzi kuna mazuzu kibao.

Jambo baya ikifanyiwa timu A ila kwa manufaa timu B ni sherehe kwa timu B, jambo kama hilohilo likigeukia kwa timu B ni kilio na kwa mwenzie timu A ni sherehe tena. Hawakemei wala kurekebisha zaidi ya kufanyiana timing tu..

Ndio hili sasa.
 
Makomandoo wa Yanga hawapo rasmi lakini ni ngumu kuwatenganisha na Yanga kusema hawahusiani na Yanga wakati events kibao tunaona wameambatana na viongozi wa Club.

Huyo Afisa Habari wa Yanga alimtaja kwa majina huyo kiongozi ni nani?

Isijekuwa mzigo wa punda ulikiwa unainekana ni mwepesi tu kwasababu umebebwa na Punda lakini alivyobeba mtu akaona ni unyanyasaji.

Sasa sijajua kwanini Afisa Habari wa Yanga alirudia makosa kwa kutomtaja.

Ugumu aliouona Afisa wa bodi ya ligi ndio ugumu ule ule ambao hata yeye Afisa Habari wenu aliuona na kushindwa kumtaja public wote tumjue ni nani.
Bodi ndio inareport kamili na mamlaka kamili ya kutoa report
 
Kwani kiemba si anasema haoni sababu ya kuhairisha mechi,kwani mechi ilihairishwa baada ya nini kutokea? Si baada ya kugoma,kama mnsingegoma maana yake hata huu mjadala husinge kuwepo na Kiemba hasinge andika hiki. Au kuna sababu nyingine ya kugomea mechi.

Wewe umempinga kiembe na kujisifu unajua kunukuu, ukaja na hoja yako ya kujifanya bingwa wa kupinga tena kwa kunukuu, ila mpaka sasa unauza chai,hatuoni hizo nukuu zinazo tutofautisha na wewe.

Unaonekana hata unacho kipinga hukijui hata source yake huijui,unapinga ili uonekane unapinga,ila huna unacho kijua.
Mwanzo nilijua unafanya makusudi ila kwa sasa nimejiridhisha kuwa hujanielewa.

Na kwasababu hiyo sioni haja ya kuendelea kukusisitizia tena kuhusu rejea ya post yako yenye madai uliyoyanihusisha mimi kuwa nimeongea hivyo.
 
Makusudi ipi? Maana unacho kipinga hukujui,si nimetuma na screenshot? Nimekuuliza yule sio ww uliye post.Sasa kama unakataa mpaka ulicho post ww mimi nitakuelewa vipi?
 
Amri Kiemba sio lazima hadi yeye aone na kuielewa sababu ndio ionekane ni sababu.
Mkuu umewahi kuandikia kile ambacho Mimi nilitaka kukiandikia, ila umetumia lugha ya kistaarabu maana nilishjiaandaa kuporomosha matusi ambayo yangefanya nitiwe korokoroni na mods.

Asante kwa busara zako mkuu.
 
Back
Top Bottom