Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hivi kwa nini mashabiki wa Yanga na wafuasi wa CCM huwa ni wajinga sana?
Ndio nataka unioneshe mahala nilipo claim kuwa "timu isipofanya mazoezi igomee mechi" ni nukuu niliyoitoa kwenye press release ya TFFWewe si husupport anacho kiongea Kiemba? Ukaja tena kusema.
"Mimi natoa nukuu"
Au nukuu unatoa kwenye mengine, ila sio kwenye kugomea mechi ya tarehe 8?
Ni nature tuHivi kwa nini mashabiki wa Yanga na wafuasi wa CCM huwa ni wajinga sana?
Sasa maswala ya kupigana picha yaliingiaje?Umeanza kua na akili kama za Kisugu
Wewe ni mkubwa huu mjadala tuachie watoto wanaonekana ku fit zaidi kuliko wewe.Press ilisema wanakuja na majibu mpaka leo hawana majibu tunaenda mwezi wa nne
Juzi timu yako simba imesema inataka majibu ya uchunguzi ya tarehe 7 kama wangekuwa na majibu kwanini wanadai majibu
Ndo maana nakuita mtoto
Halafu we ndiyo unataka kugombea urais? Kwa mitazamo hii, hata mtaani kwako haupati kura tano.Pamba vs simba siku moja kabla ya mechi simba walifanyiwa vurugu kabla ya mechi na mkuu wa mkoa wa mwanza kuna baadhi ya viongozi wa Simba waliwekwa ndani na mkuu wa mkoa ilikuwa chaos
Ila cha ajabu ile mechi simba hawakugomea walicheza despite ya kufanyiwa zengwe na vurugu swali kwanini ugomee mechi ya Yanga ambayo hakuna ushahidi wa vurugu ila uliyofanyiwa vurugu ulicheza
Kwani wewe unaye mpinga si kiembe.Ndio nataka unioneshe mahala nilipo claim kuwa "timu isipofanya mazoezi igomee mechi" ni nukuu niliyoitoa kwenye press release ya TFF
Mazoezi ya masaa mawili ya usiku ndo yasababishe ugomee mechiHalafu we ndiyo unataka kugombeq urais. Hata mtaani kwako haupati kura tano.
Derby hauiendei kizembe wala kinyonge. Simba hawakufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi walitegemea kwenda kufanyia kwa Mkapa kama taratibu zinavyoruhusu wakazuiwa, unataka kinyonge tu waende kwenye derby bila kufanya mazoezi kwa masaa zaidi ya 48 kabla ya mchezo.
Kama kila siku watu wanakiuka kanuni kibao na wako tayari kuadhibiwa kisa waingie wacheze derby katika namna wanayoona itawapa ushindi, kwa nini Simba ikubali kuonewa kifala tu?
Kule Mwanza, Simba ilifanya mazoezi, hayo mambo ya kukamatwa yalikuja baada ya mazoezi kuisha.
Siumeona hajui hata ni kipi anachosimamia anabisha tu meelewa kwanini namuita mtotoKwani wewe unaye mpinga si kiembe.
Mimi na support, then ukaja na hii kauli
"Mimi natoa nukuu"
Nimekuuliza nukuu unatoa kwenye nini ,maana comment zako zipo against na Kiemba.
Nimekwambia wangeondoka bila kufanya mazoezi ina maana wangeenda kwenye mchezo wakiwa hawajafanya mazoezi kwa masaa 48. Na kumbuka ulikuwa mwezi wa Ramadhani. Kwa nini Simba wawe wanyonge?Mazoezi ya masaa mawili ya usiku ndo yasababishe ugomee mechi
Mazoezi ya siku moja tena usiku kumbuka tokea jumatatu anafanya mazoezi na ijumaa asubuhi alikuwa anafanya mazoezi bunju sasa unasemaje hajafanya mazoeziNimekwambia wangeondoka bila kufanya mazoezi ina maana wangeenda kwenye mchezo wakiwa hawajafanya mazoezi kwa masaa 48. Na kumbuka ulikuwa mwezi wa Ramadhani. Kwa nini Simba wawe wanyonge?
Mbona tunazunguka pale pale. Program ya siku moja katika uwanja wa mchezo ni sehemu ya program ya mwalimu na kanuni inayotambulika hadi na CAF iliwekwa kwa makusudi hayo. Kwa nini uniamulie wewe nisifanye mazoezi siku moja kabla kwa kuwa eti unaona hayana maana wakati ni haki yangu na ni sehemu ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo husika? Narudia, derby hauendi kinyonge au kifalafala.Mazoezi ya siku moja tena usiku kumbuka tokea jumatatu anafanya mazoezi na ijumaa asubuhi alikuwa anafanya mazoezi bunju sasa unasemaje hajafanya mazoezi
Mazoezi ya saa 1 usiku mpaka saa 3 ndo yakufanye ugomee mechi
Huwezi kosa mazoezi ya masaa mawili ukagomea mechi ni mjinga pekee atakayekubaliMbona tunazunguka pale pale. Program ya siku moja katika uwanja wa mchezo ni sehemu ya program ya mwalimu na kanuni inayotambulika hadi na CAF iliwekwa kwa makusudi hayo. Kwa nini uniamulie wewe nisifanye mazoezi siku moja kabla kwa kuwa eti unaona hayana maana wakati ni haki yangu na ni sehemu ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo husika? Narudia, derby hauendi kinyonge au kifalafala.
Yaani mpinzani anizuie kwa makusudi nisitimize haki yangu ya msingi, halafu kinyonge tu nikacheze mchezo, labda siyo derby ya Kariakoo. Nakwambia hii hali ingetokea kwa Yanga tungekuwa hapa hapa leo hii.
Yanga kila siku wanavunja mageti wakienda kwenye derby, mbona haushangai kwa nini wanafanya hivyo?
Inaonyesha masuala ya mpira hauyajui kabisa.
Habari ya kipigo kizito unatoa wapiWatu wote wenye akili timamu wanajua hakukua na sababu ya ku ghairisha mchezo zaidi ya kuinusuru Moja ya timu na kipigo kizito.
Tff/ Bodi walikuja na sababu za usalama na Rushwa, Jana imefahamika wazi Kuna kigogo alipiga Simu ili Simba wasifanye mazoezi
Ripoti ya uchunguzi ipo, Tff/Bodi wanaizuia kwakua jina la kigogo litaweka wazi.
Inamaana Malumbano yote aya yanaendelea ili Kigogo asi anikwe hadharani.
Tff/Bodi hawakuwai kuomba radhi kwa hasara na vifo vilivyo tokea march 8.
Mpaka Leo hawataki kuelezea umma Ripoti wanayo ikalia.
Hii ni zaidi ya Kiburi na dharau kwenye taasisi ya umma.
Ni zaidi ya mambo ya kiswahili.
Amri Kiemba sio lazima hadi yeye aone na kuielewa sababu ndio ionekane ni sababu.
Who Who the cucker is he, na maoni yake ni binding kwenye soma la dar?AMRI KIEMBA
"Ukitumia kanuni kwenye sehemu ambayo ulitumia busara ndicho ambacho kinawachanganya Bodi ya Ligi hivi sasa Mimi nadhani Yanga wapo tayari kucheza na kumalizia Ligi kwa mechi zote 30 kama tu yale yote ambayo wanahisi haikuwa haki yatapatiwa ufumbuzi
Kunawezekana kuna mengine yanaweza kuwa sio ya kupatiwa ufumbuzi kwa msimu labda ni kwa misimu inayokuja lakini yale wanayoweza kuyapatia ufumbuzi na kuyatolea ufafanuzi wanaweza kuyajibu na yale yanayohitaji muda mrefu wanaweza kuyaweka kwenye Panel yakashughulikiwa
Lengo la Yanga sidhani kama ni kukomoa ni kujaribu kutengeneza mifumo ambayo itakuwa imara isiwe kila mtu akila akiamka anasema mechi hakuna Yani kuwe na utaratibu ambao kila mtu atauheshimu na kuufata
Mfano kuhairishwa kwa mchezo nguvu ambayo imetumika kupanga ratiba ya tarehe 15 Juni kama wangeitumia June 8 Leo tulikuwa hatuzungumzi kwa sababu ingekuwa mchezo ule ulishaisha kwa maana ya kuchezwa au haukuchezwa ila ulishaisha kwa kufata taratibu na kanuni ambazo wanasema wanazitumia sasa hivi
Mimi nadhani hakukuwa na haja ya kutunishiana misuli ilihitajika busara ili kuweza kuendelea jambo lililoanza kwa busara kulimaliza kwa busara, nasema kwa Busara kwa sababu mpaka saa nne Mapka saa nne anahojiwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi anasema mechi ipo maandalizi yaendelee kwahiyo unaona kwa kiasi gani baadae zilikuja busara sio tena zile kanuni na taratibu ambazo wanadai wanazisimamia".
Maneno ya mchambuzi na mchezaji wa zamani Amri Kiemba kuhusu Mgogoro unaoendelea wa Kariakoo Dabi.
Kama hata hujui nukuu nimetoa wapi je hizo allegations ambazo unanihusisha nazo kwamba nimezitoa unaweza kunipa post namba zake ambazo nimeweka yale madai yanayosema " timu isipofanya mazoezi igomee mechi"Kwani wewe unaye mpinga si kiembe.
Mimi na support, then ukaja na hii kauli
"Mimi natoa nukuu"
Nimekuuliza nukuu unatoa kwenye nini ,maana comment zako zipo against na Kiemba.
Yanga wameweka wazi kuwa wao hawakuhusika kuwazuia kufanya mazoezi Kuna kigogo huko alipiga simu mzuiwe tff na bodi ya ligi intake ni nani?Moja ya utaratibu ni timu pinzani kufanya mazoezi.
Huo utaratibu mliufuata?
Ndiyo maana nimekwambia masuala haya ya mpira hauyajui. Nimewahi kupitia makala zako nikagundua hilo. Kama uko serious na siasa, tafuta mshauri wa masuala haya akuelekeze kabla haujatia maoni au sera zako. Ni ushauri tu lakini una uhuru wa kuukataa.Huwezi kosa mazoezi ya masaa mawili ukagomea mechi ni mjinga pekee atakayekubali
Timu yako inasubiria majibu sasa hayo ya mpinzani kukuzuia umeyatolea wapi sababu jana jumatatu simba walisema wanasubiria majibu ila cha ajabu wewe majibu na hukumu unayo
Kuna upumbavu mwingi ulikua unafanyika kwa makusudi kwa kuw wajinga wanaofany walijua faini ni ndogo watalipa na maish yanaendelea. Kuna timu imeshapigwa faini za kutosha kosa la makusudi kupitia geti lisiloruhusiwa. Hata hiyo Machi 7 walifanya ujinga wa makusudi kwa kuwa walijua udhaifu wa kanuni. Majibu waliyopata kutokana na upuuzi wao ndio yanawatesa mioyo mpaka sasa. Simba alitoa barua moja tu kuwa hachezi akatulia zake. Upande wa pili wameshatoa tamko lao hivyo tunasikilizia utekelezaji wao.AMRI KIEMBA
"Ukitumia kanuni kwenye sehemu ambayo ulitumia busara ndicho ambacho kinawachanganya Bodi ya Ligi hivi sasa Mimi nadhani Yanga wapo tayari kucheza na kumalizia Ligi kwa mechi zote 30 kama tu yale yote ambayo wanahisi haikuwa haki yatapatiwa ufumbuzi
Kunawezekana kuna mengine yanaweza kuwa sio ya kupatiwa ufumbuzi kwa msimu labda ni kwa misimu inayokuja lakini yale wanayoweza kuyapatia ufumbuzi na kuyatolea ufafanuzi wanaweza kuyajibu na yale yanayohitaji muda mrefu wanaweza kuyaweka kwenye Panel yakashughulikiwa
Lengo la Yanga sidhani kama ni kukomoa ni kujaribu kutengeneza mifumo ambayo itakuwa imara isiwe kila mtu akila akiamka anasema mechi hakuna Yani kuwe na utaratibu ambao kila mtu atauheshimu na kuufata
Mfano kuhairishwa kwa mchezo nguvu ambayo imetumika kupanga ratiba ya tarehe 15 Juni kama wangeitumia June 8 Leo tulikuwa hatuzungumzi kwa sababu ingekuwa mchezo ule ulishaisha kwa maana ya kuchezwa au haukuchezwa ila ulishaisha kwa kufata taratibu na kanuni ambazo wanasema wanazitumia sasa hivi
Mimi nadhani hakukuwa na haja ya kutunishiana misuli ilihitajika busara ili kuweza kuendelea jambo lililoanza kwa busara kulimaliza kwa busara, nasema kwa Busara kwa sababu mpaka saa nne Mapka saa nne anahojiwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi anasema mechi ipo maandalizi yaendelee kwahiyo unaona kwa kiasi gani baadae zilikuja busara sio tena zile kanuni na taratibu ambazo wanadai wanazisimamia".
Maneno ya mchambuzi na mchezaji wa zamani Amri Kiemba kuhusu Mgogoro unaoendelea wa Kariakoo Dabi.
Makomandoo wa Yanga sio sehemu ya kizuizi?Yanga wameweka wazi kuwa wao hawakuhusika kuwazuia kufanya mazoezi Kuna kigogo huko alipiga simu mzuiwe tff na bodi ya ligi intake ni nani?