Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

Umeanza kuleta siasa uzi unahusu kuhairisha mechi wewe unarukia kwenye mambo ya mshindi wa CRDB jikite kwenye uzi
Hii ni mifano michache inayokazia nukta chache ambazo tunaonekana kuwa kwenye mkumbo wa kujadili baadhi ya vitu kimazoea.

Amri Kiemba anaweza kukosea kama ambavyo CEO wa Yanga asivyojua pesa anayolipwa mshindi wa CRDB.
 
Huu ndio ukweli sema basi tu ila bodi na tff wana nguvu sana dhidi ya yanga ila hawakuwa na nguvu dhdi ya Simba Ile trh 8
Siyo hawana nguvu dhidi ya Simba wanayo sana ila wameacha weledi kwa sababu kinachowasumbua ni ushabiki wao dhidi ya timu yao ya Simba na wanataka lazima achukue kombe ili rekodi yao ya kuchukua mara nne tusiivunje.
 
Unaweza kuwa na macho na usione.

Na hii inaweza kuleta shida ziaid kama una argue na mtu ambaye hajui matumizi ya metaphor kwenye maneno.
Ni wapi kanuni zinasema timu isipo fanya mazoezi isicheze mechi? Taifa stars walizuiliwa Morocco mechi haikuchezwa? Unaleta maneno mengi ya kisiasa kama mwenyezi wa CCM
 
Hii ni mifano michache inayokazia nukta chache ambazo tunaonekana kuwa kwenye mkumbo wa kujadili baadhi ya vitu kimazoea.

Amri Kiemba anaweza kukosea kama ambavyo CEO wa Yanga asivyojua pesa anayolipwa mshindi wa CRDB.
Wewe ni mpenda ligi za kitoto hakuna ambae hakujui
 
Huwezi kuielewa sababu imenufaisha upande wako,so kwa wengine ni sababu tena ya Msingi.
Kwamba nawewe umeielewa sio kwa sababu inaeleweka au ni legit ila kwasababu ina positive interest kwenye upande wako?
 
Ni wapi kanuni zinasema timu isipo fanya mazoezi isicheze mechi? Taifa stars walizuiliwa Morocco mechi haikuchezwa? Unaleta maneno mengi ya kisiasa kama mwenyezi wa CCM
Huyo ni mtoto mzoee
Kule mwanza vs pamba simba walifanyiwa zengwe kabla ya mechi mpaka baadhi ya viongozi wao wakawekwa ndani ila hawakugomea mechi
 
Ni wapi kanuni zinasema timu isipo fanya mazoezi isicheze mechi? Taifa stars walizuiliwa Morocco mechi haikuchezwa? Unaleta maneno mengi ya kisiasa kama mwenyezi wa CCM
Taifa Stars huko Morroco kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani?

Kulikuwa na conspirancy za rushwa?

Unaelewa sababu ya mechi kuahirishwa iliyotajwa na bodi ya ligi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Taifa Stars huko Morroco kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani?

Kulikuwa na conspirancy za rushwa?

Unaelewa sababu ya mechi kuahirishwa iliyotajwa na bodi ya ligi?
Wewe jamaa ni mtoto piga picha akili kama hizi ndo zinakuwa viongozi

Mbona takukuru wahusika wa kupambana na rushwa ni miezi minne hawaongea lolote
 
Taifa Stars huko Morroco kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani?

Kulikuwa na conspirancy za rushwa?

Unaelewa sababu ya mechi kuahirishwa iliyotajwa na bodi ya ligi?
Tumia akili japo huna, vurugu zilifanyika tarehe 7 usiku asubuh ya tarehe 8 bodi walitoa taarifa mechi ipo so unataka kuniambia viashilia vya rushwa na uvunjifu wa amani virifanyika saa Saba mchana? Na kama hivyo vilitokea wanapangaje mechi bila kuwajibishwa waliosababisha mchezo kuvunjika what if tarehe 15 yakikirudia!
 
Sio Kiemba pekee,hata mwana Simba damu damu Shaffi Dauda ile siku alishangaa sana! Mpaka akawa anatamani angewaona viongozi wa Simba ili awashauri na kuwaambia hasara za kutokuchezwa kwa mechi ile ya tarehe 08.
 
Kwamba nawewe umeielewa sio kwa sababu inaeleweka au ni legit ila kwasababu ina positive interest kwenye upande wako?
Yap kama wewe unavyo ikataa sababu inakunufaisha wewe. Sasa kipi cha ajabu,halafu Kiembe ni Legend wenu, Farhan,Edo ni Kolo FC ila wameamua kisimamia wanacho kimabinu kama Kiembe kwamba siku bodi na TFF walikosea kuhairisha mechi.
 
Wewe jamaa ni mtoto piga picha akili kama hizi ndo zinakuwa viongozi

Mbona takukuru wahusika wa kupambana na rushwa ni miezi minne hawaongea lolote
VIongozi wako wa Yanga waliwahi kukuonesha mkataba wa Kagoma. Leo wote tunajua Kagoma yupo Simba.

Viongozi wako wa Yanga waliwahi kukuambia wakienda CAS watapewa point 3. Wamerudi vichwa chini na shauri limefutiliwa mbali.

Viongozi wako wa Yanga wamekuaminisha kuwa CRDB wanalipa milion 200 kwa mshindi wa shirikisho. Well ipo video inayoonesha mchanganuo wa hizo pesa ambapo mshindi anachukua milion 50.

Lakink mimi niliyekuambia sababu ya mechi kuahirishwa iliyotajwa na bodi ya ligi sio Simba kutofanya mazoezi ni viashiria vya rushwa na uvunjifu wa amani. Na sababu hii sio maoni yangu ni nukuu kutoka kwenye press release ya TFF

Lakini mimi ndio nimeitwa mtoto nafanya mambo ya kitoto.

Hao Yanga waliofanya hayo yote ambayo mtu rational angepewa afanye comparison na kauli yangu angeweza kusema Yanga ndio wanafanya utoto. Lakini wewe kwasababu una mapenzi na timu yako unaniona mimi ndio mtoto.

Unapenda vibaya
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom