Amri Kiemba wewe ni superstar hutakiwi kuishi Kigogo

Amri Kiemba wewe ni superstar hutakiwi kuishi Kigogo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna maeneo Dar es salaam ukiishi unajishushia heshima yako tu,

Bora ukakae Kibaha au Bagamoyo ijulikane moja.

Nani anapenda kukalia Kigogo, hakuna bali hali ngumu ya uchumi inalazimisha watu kuishi maeneo yasiyo na hadhi.

Hakuna mtu makini anayekalia Kigogo au Mburahati

Nimeshangaa sana kuona Amri kiemba anaishi Kigogo
Mbele jalala nyuma choo cha jirani
 
Kuna maeneo Dar es salaam ukiishi unajishushia heshima yako tu,

Bora ukakae Kibaha au Bagamoyo ijulikane moja.

Nani anapenda kukalua Kigogo,hakuna bali hali ngumu ya uchumi inalazimisha watu kuishi maeneo tasiyo na hadhi.

Hakuna mtu makini anayekalia Kigogo au mburahati

Nimeshangaa sana kuona Amri kiemba anaishi kigogo
Mbele jalala nyuma choo cha jirani
Kigogo siyo yote mbaya mzee sawa na mburahati ushafika mburahati barafu Wanakaa mpaka wachezaji wa mpira simba na yanga kwaiyo ungenionesha mtaa au nyumba anayokaa hapo ndo ninge judge
 
Kule mbona siyo pabaya kuna mijengo ya maana alafu usichokijua mtu ambaye hana makuu ni kiemba jamaa mtu wa dini sana muslam safi hapendi kujikweza maisha yake simple kama john boko kumkuta anapanda daladala kwake kawaida sana nafikili ndo maisha ya uhuru kuto kupretend life
Bocco anaishi kishua sana,napenda simple life ila ni risky sana,usalama wako ndio lipaumbele changu
 
Kule mbona siyo pabaya kuna mijengo ya maana alafu usichokijua mtu ambaye hana makuu ni kiemba jamaa mtu wa dini sana muslam safi hapendi kujikweza maisha yake simple kama john boko kumkuta anapanda daladala kwake kawaida sana nafikili ndo maisha ya uhuru kuto kupretend life
Inahitajika busara sana kuishi hapa duniani. Kuwa simple inakusaidia kuishi maisha ambayo hayana shida yoyote. Ukakaa na kuongea na watu wa aina zote, inapendeza sana.
 
Kigogo siyo yote mbaya mzee sawa na mburahati ushafika mburahati barafu Wanakaa mpaka wachezaji wa mpira simba na yanga kwaiyo ungenionesha mtaa au nyumba anayokaa hapo ndo ninge judge
Barafu pametulia sana ila bado ni uswazi vilevile japo pana utulivu sana hapana mishkeli nyingi za uswahilini kama vingunguti au tandale uko.
 
Back
Top Bottom